Meya Dar es Salaam: UKAWA mliambiwaje?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,279
25,856
Iliripotiwa humu na kwingineko kuwa Madiwani na viongozi wa UKAWA jijini Dar es Salaam waliitwa ofisini kwa Kaimu Mkurugenzi wa Jiji ili kuelezwa kinachoendelea kuhusu uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji hili.

Iliripotiwa kuwa viongozi hao waliitwa kwa sms na kutarajiwa kwenda Jumanne iliyopita. Kama walikwenda kama ilivyoripotiwa,UKAWA wameambiwaje? Wao wamejipangaje?
 
Wawe makini wao sasa hivi wanaenda Mwanza kwenye Baraza kuu la Chama upande mwingine utasikia umeitishwa uchaguzi wa Meya wa jiji
 
Wakifanya hivyo....nitapata sababu ya kuamini seeikali ya Magufuli itadumu kwa Muhula mmoja tu wa awamu hii ya tano.
kivip mkuu tanzania sio dar na magu wala kura za dar hakuzipata kwa hiyo yeye hana cha kupoteza kwa hapo dar
 
Truvada......haki ni kwa nchi yote na Dar ndiyo uso wa TZ au ndiyo Tz ndiyo maana wote wako hapo wata wa ZNZ na tz yote sasa hivi wana angalia kinachojiri dar.Tarakimu hazisemi uwongo...tukubali yaishe tujenge nchi.
 
Unaitwa kwa SMS ?
Hakuna official utaratibu wa kuwaita?
Halafu Yule mwanamama wa sakata la Flow meter alivyoandikiwa SMS watu wazima walitoka kamasi humu...haya sasa UKAWA wameitwa kwa SMS na wameitikia wito kimya kimya. WanaSiasa watatufikisha pabaya sana Watanzania.....TUAMKE NA KUCHUKUA TAHADAHARI.
 
Naona ajenda haijakamilika ya kuwamata hao wabunge na madiwani ili kuitisha Uchaguzi.

Katika awamu ambayo sheria iko Segerea ni hii ya JPM,aliyeghushi document ya Mahakama yuko nje kwa dhamana ya CCM

No comments
 
Back
Top Bottom