Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

Kubenea hapendi Polisi Kwa Kuwa amekubuhu Kwenye uhalifu

Huyu anatuhumiwa kutaka Kumteka Mwenyekti wa Taifa wa Chadema hali iliyopelekea mpaka Mh. Mbowe kuamua kukiuka Masharti ya dhamana ili tu arudishwe rumande Kwa usalama wake kuepuka vitisho vya Saeed

Hayo majani unavyovuta huwa yana madhara sana....na athari zake ndio kama kuandika utumbo kama uliouandika hapo.

Hujachelewa, nakushauri acha!
 
CCM bila police haiwezi kupata hata kura moja ila mpka 2020 jiwe atataga mana wetesi wake watakua na njaa kali
 
Kubenea hapendi Polisi Kwa Kuwa amekubuhu Kwenye uhalifu

Huyu anatuhumiwa kutaka Kumteka Mwenyekti wa Taifa wa Chadema hali iliyopelekea mpaka Mh. Mbowe kuamua kukiuka Masharti ya dhamana ili tu arudishwe rumande Kwa usalama wake kuepuka vitisho vya Saeed

Hataree
 
Back
Top Bottom