Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

Tafsiri ya kuingia na silaha za moto ndani ni nini?
Kwamba ikitokea fujo za maneno na ngumi hao askari watatumia bunduki zao kutuliza ghasia, kwamba watawapiga wajumbe kwa risasi au wanamaanisha nini?
Kama sio mantiki hiyo kwanini waingie na silaha za moto kama hazitatumika kwa vyovyote??
Basi ipo siku mtajua umuhimu wa amani
 
Kubenea hapendi Polisi Kwa Kuwa amekubuhu Kwenye uhalifu

Huyu anatuhumiwa kutaka Kumteka Mwenyekti wa Taifa wa Chadema hali iliyopelekea mpaka Mh. Mbowe kuamua kukiuka Masharti ya dhamana ili tu arudishwe rumande Kwa usalama wake kuepuka vitisho vya Saeed
Kumbe wewe ndiye unawapenda,kwa hoja kwamba wewe ni mzalendo,na unaipenda nchi yako?
Kama ni kweli ,kwanini wizi wote mkubwa huwa unafanywa na ninyi wana CCM?
 
Kubenea hapendi Polisi Kwa Kuwa amekubuhu Kwenye uhalifu

Huyu anatuhumiwa kutaka Kumteka Mwenyekti wa Taifa wa Chadema hali iliyopelekea mpaka Mh. Mbowe kuamua kukiuka Masharti ya dhamana ili tu arudishwe rumande Kwa usalama wake kuepuka vitisho vya Saeed
Umeandika kituvgani?
 
Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

pic+meya.jpg

Kwa ufupi
  • Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani la Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewaamuru polisi wenye silaha za moto waliokuwa ndani ya ukumbi wa mkutano kutoka nje kwa madai uwapo wao unawatisha wajumbe.

Dar es Salaam. Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la Madiwani wa jiji hilo kwa madai kuwa uwapo wao unawatisha wajumbe wa baraza hilo.

Mwita alitoa amri hiyo leo baada ya mmoja wa wajumbe wa baraza hilo, Saed Kubenea kuomba utaratibu kuhusu uwapo wa askari na uhuru wa kutoa maoni.

Ilivyokuwa
Baada ya dua ya kuliombea baraza hilo lenye ajenda ya uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji ili kuziba nafasi ya Mussa Kafana aliyejiuzulu na kuhamia CCM, Kubenea alisema: “leo mkutano huu una wageni wengi hasa askari polisi wenye silaha za moto tena ndani ya ukumbi lakini siyo utaratibu mwenyekiti.”

"Hatukatai vyombo vya usalama kuwapo humu ndani lakini hizi silaha za moto si sahihi. Tunaomba watoke nje ili tuendelee na kikao.”

Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi katibu wa baraza hilo, Sipora Liana kutoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi wenye silaha kuwapo ndani ya kikao hicho.

"Mimi ndiye nimeandaa mkutano huu, nimeamua kuweka ulinzi kutokana na historia ya vikao vya nyuma kuwa na vurugu. Nataka mkutano uwe na ulinzi na utulivu.”

"Nimewahakikishia ulinzi wajumbe wangu ndiyo maana ulinzi upo hapa nami ndio muandaaji wa kikao hiki,” alisema Liana.
Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi tena Kubenea ambaye alsisitiza polisi hao watoke nje na kama vurugu zitatokea wataitwa ndani.

“Hata kule bungeni vurugu zikitokea Spika ana agiza askari waingie ndani," alisema Kubenea.

Maelezo hayo ya Kubenea yalimfanya Mwita kuagiza askari waliokuwa na silaha watoke nje ya ukumbi jambo ambalo lilitekelezwa.

Wakati Meya wa Ubungo akisikika akisema hatoweza kutoa maoni huku askari hao wakiwa ukumbini na silaha, mjumbe mwingine wa CCM, Mussa Ntinika alisikika akisema siyo jambo jema na halileti tafsiri nzuri kwa vyombo vya ulinzi kutolewa nje ya ukumbi.

Chanzo: Mwananchi
Unadhani badala ya kuwatoa wangetoka wao na kuwaacha askari hao ndani na wanaccm waendelee na kikao cha ndiyooo!
 
Bila polisi/dola wepesi kama pamba taifa lingekuwa na uhuru wakweli.
Aliyesema hayo maneno ndie Katibu mwenezi wa Ccm wa sasa ndugu polepole.

Mwambie aongee hayo maneno leo kama ataweza tena.
 
Kwanini wametolewa. Hatujaona damu ikimwagika siku nyingi. Tuna hamu na harufu ya damu
 
Meya Dar aamuru polisi wenye silaha kutoka ukumbini

pic+meya.jpg

Kwa ufupi
  • Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani la Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewaamuru polisi wenye silaha za moto waliokuwa ndani ya ukumbi wa mkutano kutoka nje kwa madai uwapo wao unawatisha wajumbe.

Dar es Salaam. Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amewataka polisi wenye silaha za moto kutoka nje ya ukumbi wa Baraza la Madiwani wa jiji hilo kwa madai kuwa uwapo wao unawatisha wajumbe wa baraza hilo.

Mwita alitoa amri hiyo leo baada ya mmoja wa wajumbe wa baraza hilo, Saed Kubenea kuomba utaratibu kuhusu uwapo wa askari na uhuru wa kutoa maoni.

Ilivyokuwa
Baada ya dua ya kuliombea baraza hilo lenye ajenda ya uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji ili kuziba nafasi ya Mussa Kafana aliyejiuzulu na kuhamia CCM, Kubenea alisema: “leo mkutano huu una wageni wengi hasa askari polisi wenye silaha za moto tena ndani ya ukumbi lakini siyo utaratibu mwenyekiti.”

"Hatukatai vyombo vya usalama kuwapo humu ndani lakini hizi silaha za moto si sahihi. Tunaomba watoke nje ili tuendelee na kikao.”

Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi katibu wa baraza hilo, Sipora Liana kutoa ufafanuzi kuhusu hatua ya polisi wenye silaha kuwapo ndani ya kikao hicho.

"Mimi ndiye nimeandaa mkutano huu, nimeamua kuweka ulinzi kutokana na historia ya vikao vya nyuma kuwa na vurugu. Nataka mkutano uwe na ulinzi na utulivu.”

"Nimewahakikishia ulinzi wajumbe wangu ndiyo maana ulinzi upo hapa nami ndio muandaaji wa kikao hiki,” alisema Liana.
Baada ya maelezo hayo, Mwita alimpa nafasi tena Kubenea ambaye alsisitiza polisi hao watoke nje na kama vurugu zitatokea wataitwa ndani.

“Hata kule bungeni vurugu zikitokea Spika ana agiza askari waingie ndani," alisema Kubenea.

Maelezo hayo ya Kubenea yalimfanya Mwita kuagiza askari waliokuwa na silaha watoke nje ya ukumbi jambo ambalo lilitekelezwa.

Wakati Meya wa Ubungo akisikika akisema hatoweza kutoa maoni huku askari hao wakiwa ukumbini na silaha, mjumbe mwingine wa CCM, Mussa Ntinika alisikika akisema siyo jambo jema na halileti tafsiri nzuri kwa vyombo vya ulinzi kutolewa nje ya ukumbi.

Chanzo: Mwananchi
Hao Polisi mpaka ndani ya ukumbi kwani nao ni wadiwani?
 
Kubenea hapendi Polisi Kwa Kuwa amekubuhu Kwenye uhalifu

Huyu anatuhumiwa kutaka Kumteka Mwenyekti wa Taifa wa Chadema hali iliyopelekea mpaka Mh. Mbowe kuamua kukiuka Masharti ya dhamana ili tu arudishwe rumande Kwa usalama wake kuepuka vitisho vya Saeed
Membe 2020
 
DA!!!! KWELI NIMEAMINI KUWAQ JAMII FORUMS IMETEKWA, SASA HAINA TOFAUTI NA TBCCM NA UHURU FM. KICHWA HA HABARI HII KILIKUWA KINAONGELEA KUHUSU CCM KUBEBWA NA POLISI LAKINI NAONA MODS WAMEKIBADILISHA.
 
Back
Top Bottom