Meya C.C.M akataa ''shangingi'' kama Mbowe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya C.C.M akataa ''shangingi'' kama Mbowe.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sir echa, Jul 27, 2011.

 1. s

  sir echa Member

  #1
  Jul 27, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa waliopitia magazeti ya leo kichwa cha habari sio kigeni,kama hujabahatika unaweza kucheki na mojawapo wa magazeti ya leo (gazeti la tanzania).

  Nakumbuka Mh. Mbowe alipotangaza kurudisha gari lile kuna sintofahamu ziliibuka ikiwemo kwamba arudishe vyote alivyopewa na serikali kama kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na sio kuchagua kipi abaki nacho kipi arudishe,sikufuatilia sana kujua mwisho wake ilikuaje!

  Naye meya wa Arusha amefanya hivo hivo,hebu wadau nifahamisheni ile shangingi ya mbowe ilikubaliwa kurudi au mbowe alitimiza yale masharti waliyompa??na kanuni ziko vipi inapotokea manununzi yashafanyika afu kiongozi anataka kubadili uamuzi uliopitishwa na bodi husika??
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 27, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,793
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mtendaji mkuu ni mkurugenzi wa wilaya au RAS kimkoa sasa meya anapewa shangingi la nini?ndugu huyu Karimjee wa TOYOTA tanzania sijui kailoga na ni serikali yetu maana watawala wetu wanawaza kununua magari tuu toka toyota!
   
Loading...