R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Meya wa ubungo aliaminisha watanzania kuwa Jana tarehe 22/3 JNNE angefungua kesi ; ya jinai kuhusu makonda. lakini cha kushangaza mpaka leo ajatokea kwenye vyombo habari. kutoa maelezo nini kimemsibu. ushauri katukwaza
Refer taarifa ya wiki iliyopita:
>>Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki
- Watanzania;; tuliaminishwa kuwa ana madai'
- Chadema
- Wananchi wa UBUNGO
Refer taarifa ya wiki iliyopita:
>>Meya wa Ubungo kufungua kesi ya jinai dhidi ya Paul Makonda kutokana na madai ya kuwa na vyeti feki