Meya Boniface: Jinsi nilivyonusurika na kutoka kizuizini Uwanja wa JNIA baada ya saa 3

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
Nilikuwa Nisafiri kwenda Johanesburg, Nchini South Africa kwa ajiri ya Matembezi binafsi na Dhumuni kuu likuwa nikutanua Mtandao wa Biashara zangu binafsi.

Na ikumbukwe kuwa Safari ya halisi ilipaswa kuwa siku ya Jumamosi Saa 9 na nusu Mchana kwa Mujibu ya Ticket yangu.

Lakini Safari ya kwanza,Jana Jumamosi ilishindikana kwa Sababu nilizopewa ma Maafisa Usalama wa Uwanja wa Ndege na Uhamiaji kuwa Muda usingetosha kunifanyia Mchakato wa Kuniruhusu kupita Uwanjani hapo.

Basi pasipokujua Dhamira yao Ovu,nilikubali kuhairisha Safari na Kugharamia Ticket Mpya.

Basi Leo Usiku Ndege hiyo ilikuwa iondoke Saa 12 asubuhi na Abiria tulipaswa kuanza kugunguliwa Milango(boarding) saa 10 za Usiku.

Ila Kwa Usongo, Saa 9.00. Za Usiku nilikuwa tayari Uwanja wa Ndege Terminal 1 kwa ajili ya Safari.

Basi Leo nikajikuta naangukia Mikononi mwa Maafisa usalama (TISS) na Maafisa Ujamiaji wa Uwanja wa Ndege JKNA,Kisha kupelekwa Kwenye kachumba Maalum kwa mahojiano zaidi.

Huko niliwaeleza kuwa
1.Mimi si Mwajiriwa wa Serikali hivyo sipaswi Kuomba Kibali IKULU.

2.Mimi sikuwa Naenda kuhudhuria Shughuli yeyote kwa Nafasi yangu kama Meya bali Matembezi Binafsi.

3.Sikuwa natumia gharama za Serikali/Halmashauri wala sikugharamiwa na Mfadhili au shirika lolote bali ilikuwa ni pesa kutoka Mfukoni Mwangu.

Pamoja na yote hawakuniachia,
Niliendelea kuwa kizuizini kwa Muda wa Takribani Masaa 3 kuanzia saa 9 Usiku Mpaka Saa 12.

Wakati huo Dakika 10 mdege kuruka, Nasikia nikiitwa kwenye Matangazo ya Ndege kuwa ni "Boniface Jacob is Missing Passenger" niliye jiorodhesha kuwa nipo Uwanjani hapo ila awajui nimepotelea wapi.

Baadae huyo Maafisa Usalama na Uhamiaji na mtu waliyekuwa wanaongea naye wa IKULU aliwaamuru waniache niendelee na Safari,Lakini ilikuwa Imebakia Dakika 10 ndege Kuruka.

Basi Ikawa zamu ya SOUTH AFRICAN AIR WAYS Kuwagomea Maafisa Usalama na Uhamiaji,kwamba Kwa Mujibu wa Taratibu zao walisha niondoa kwenye Orodha ya watu wanaosafiri(Off loading)

Na kweli ndege iliruka nikiwa Uwanjani hapohapo

Leo ni Safari yangu ya Tano narudishiwa Airport na maafisa Usalama na Uhamiaji kwa Kisingizio kuwa Mpaka Kibali Kitoke IKULU.

Safari hii nitaenda tena kuipambania kwa Sababu,nilizotaja hapo Juu,
wala sitokubali Ushauri wa wanaoniambia nipote Njia ya panya Mpaka Msimbiji au Zambia kwanda South Africa,

Sababu Mimi ni Mtu huru siko kifungoni,Wala sina Order ya Mahakama ya Kunizuia Kusafiri kwenda Popote,

Kwa Sababu Mialiko ya kikazi nimeuziwa Minne nikiwa AIR PORT na Moja Ilikuwa Mbaya Sana nilifuatwa kushushwa kutoka Kwenye Ndege,

Na Miaka 3 sasa hata nilipoamua kujishusha Kuomba kibali IKULU Katika Mialiko 20,Sijawahi kupewa Kibali hata 1, Mpaka Leo hii nina Mialiko kama Meya wala sijishughulishi nayo sababu najua Sitoruhusiwa.

Kwa nini na Safari binafsi wanizuie? Nitaitafuta Haki yangu ya kwenda popote! Wala sienda Nje ya nchi kwa kwenda kupandia Ndege Nairobi

Boniface Jacob
Msahiki Meya
Manispaa ya Ubungo
 
MaCCM wote ni MASHETANI yameshaonja DAMU ya wapinzani wamenogewa. CCM ni laana ndani ya Tanganyika na Zanzibar.

Ndio maana wanataka tujiandikishe ili tuchague upinzani wapate kuwaumiza ili waonekane (wanawashughurikia ipasavyo) “wanafanya kazi kweli kweli” SHATAN MKUU wa IKULU ulaaniwe!
 
Endapo kama habari hii INA ukweli, mmmhhh!acha tu!

Ndio maana siku zote nimekuwa nikipata taabu sana NA kujiuliza Mimi mwenyewe maswali mengi sana kuhusiana na mambo mabaya yaliyowahi kuwakumba watawala WA Afrika. Mathalani, nimekuwa nikijiuliza "hivi Ni Kwa nini mauaji ya kimbari yalitokea nchini Rwanda mwaka 1994?Hivi Ni Kwa nini Prince Johnson aliamua kumkamata Kwa nguvu Rais Samuel Doe wa Liberia na kisha alimvua nguo zote kabisa na kumuacha uchi WA mnyama NA kuruhusu waandishi WA habari wamrekodi mubashara Kwa video-camera na kisha Rais alitembezwa mitaani uchi kabla ya kuuawa. Kwa jinsi ninavyoshuhudia namna siasa za Tanzania zinavyoendeshwa Kwa sasa, nazidi kupata majibu sahihi kuhusu maswali haya ambayo nimekuwa Nikijiuliza Kwa muda mrefu.
 
Nilikuwa Nisafiri kwenda Johanesburg, Nchini South Africa kwa ajiri ya Matembezi binafsi na Dhumuni kuu likuwa nikutanua Mtandao wa Biashara zangu binafsi.

Na ikumbukwe kuwa Safari ya halisi ilipaswa kuwa siku ya Jumamosi Saa 9 na nusu Mchana kwa Mujibu ya Ticket yangu.

Lakini Safari ya kwanza,Jana Jumamosi ilishindikana kwa Sababu nilizopewa ma Maafisa Usalama wa Uwanja wa Ndege na Uhamiaji kuwa Muda usingetosha kunifanyia Mchakato wa Kuniruhusu kupita Uwanjani hapo.

Basi pasipokujua Dhamira yao Ovu,nilikubali kuhairisha Safari na Kugharamia Ticket Mpya.

Basi Leo Usiku Ndege hiyo ilikuwa iondoke Saa 12 asubuhi na Abiria tulipaswa kuanza kugunguliwa Milango(boarding) saa 10 za Usiku.

Ila Kwa Usongo, Saa 9.00. Za Usiku nilikuwa tayari Uwanja wa Ndege Terminal 1 kwa ajili ya Safari.

Basi Leo nikajikuta naangukia Mikononi mwa Maafisa usalama (TISS) na Maafisa Ujamiaji wa Uwanja wa Ndege JKNA,Kisha kupelekwa Kwenye kachumba Maalum kwa mahojiano zaidi.

Huko niliwaeleza kuwa
1.Mimi si Mwajiriwa wa Serikali hivyo sipaswi Kuomba Kibali IKULU.

2.Mimi sikuwa Naenda kuhudhuria Shughuli yeyote kwa Nafasi yangu kama Meya bali Matembezi Binafsi.

3.Sikuwa natumia gharama za Serikali/Halmashauri wala sikugharamiwa na Mfadhili au shirika lolote bali ilikuwa ni pesa kutoka Mfukoni Mwangu.

Pamoja na yote hawakuniachia,
Niliendelea kuwa kizuizini kwa Muda wa Takribani Masaa 3 kuanzia saa 9 Usiku Mpaka Saa 12.

Wakati huo Dakika 10 mdege kuruka, Nasikia nikiitwa kwenye Matangazo ya Ndege kuwa ni "Boniface Jacob is Missing Passenger" niliye jiorodhesha kuwa nipo Uwanjani hapo ila awajui nimepotelea wapi.

Baadae huyo Maafisa Usalama na Uhamiaji na mtu waliyekuwa wanaongea naye wa IKULU aliwaamuru waniache niendelee na Safari,Lakini ilikuwa Imebakia Dakika 10 ndege Kuruka.

Basi Ikawa zamu ya SOUTH AFRICAN AIR WAYS Kuwagomea Maafisa Usalama na Uhamiaji,kwamba Kwa Mujibu wa Taratibu zao walisha niondoa kwenye Orodha ya watu wanaosafiri(Off loading)

Na kweli ndege iliruka nikiwa Uwanjani hapohapo

Leo ni Safari yangu ya Tano narudishiwa Airport na maafisa Usalama na Uhamiaji kwa Kisingizio kuwa Mpaka Kibali Kitoke IKULU.

Safari hii nitaenda tena kuipambania kwa Sababu,nilizotaja hapo Juu,
wala sitokubali Ushauri wa wanaoniambia nipote Njia ya panya Mpaka Msimbiji au Zambia kwanda South Africa,

Sababu Mimi ni Mtu huru siko kifungoni,Wala sina Order ya Mahakama ya Kunizuia Kusafiri kwenda Popote,

Kwa Sababu Mialiko ya kikazi nimeuziwa Minne nikiwa AIR PORT na Moja Ilikuwa Mbaya Sana nilifuatwa kushushwa kutoka Kwenye Ndege,

Na Miaka 3 sasa hata nilipoamua kujishusha Kuomba kibali IKULU Katika Mialiko 20,Sijawahi kupewa Kibali hata 1, Mpaka Leo hii nina Mialiko kama Meya wala sijishughulishi nayo sababu najua Sitoruhusiwa.

Kwa nini na Safari binafsi wanizuie? Nitaitafuta Haki yangu ya kwenda popote! Wala sienda Nje ya nchi kwa kwenda kupandia Ndege Nairobi

Boniface Jacob
Msahiki Meya
Manispaa ya Ubungo
Pole sana mkuu, kuwa mpinzani kwenye awamu hii kuna gharama kubwa sana, faraja pekee ni kwamba watanzania sio wajinga wanajua kinachoendelea na jinsi mnavyolazimika kuwatumikia kwa mateso na changamoto za kila aina
 
Msahiki Meya

Abiria tulipaswa kuanza kugunguliwa Milango(boarding) saa 10 za Usiku.

Maafisa Ujamiaji wa Uwanja wa Ndege

Baadae huyo Maafisa

nimeuziwa Minne nikiwa AIR PORT

Wala sienda Nje ya nchi kwa kwenda kupandia Ndege Nairobi

Labda kuna kitu wanakitafuta kwenye taaluma/elimu yako Mkuu
 
Basi Leo Usiku Ndege hiyo ilikuwa iondoke Saa 12 asubuhi na Abiria tulipaswa kuanza kugunguliwa Milango(boarding) saa 10 za Usiku.

Ila Kwa Usongo, Saa 9.00. Za Usiku nilikuwa tayari Uwanja wa Ndege Terminal 1 kwa ajili ya Safari.

Meya kaandika nini!!!!!!

Inaonyesha hajawahi kupanda ndege na alikuwa anapaniki.. kwa aliyoandika haishangazi kama walimsimamisha maana lazima alieleza yanayofikirisha

🤣🤣🤣🤣
 
Nilikuwa Nisafiri kwenda Johanesburg, Nchini South Africa kwa ajiri ya Matembezi binafsi na Dhumuni kuu likuwa nikutanua Mtandao wa Biashara zangu binafsi.

Na ikumbukwe kuwa Safari ya halisi ilipaswa kuwa siku ya Jumamosi Saa 9 na nusu Mchana kwa Mujibu ya Ticket yangu.

Lakini Safari ya kwanza,Jana Jumamosi ilishindikana kwa Sababu nilizopewa ma Maafisa Usalama wa Uwanja wa Ndege na Uhamiaji kuwa Muda usingetosha kunifanyia Mchakato wa Kuniruhusu kupita Uwanjani hapo.

Basi pasipokujua Dhamira yao Ovu,nilikubali kuhairisha Safari na Kugharamia Ticket Mpya.

Basi Leo Usiku Ndege hiyo ilikuwa iondoke Saa 12 asubuhi na Abiria tulipaswa kuanza kugunguliwa Milango(boarding) saa 10 za Usiku.

Ila Kwa Usongo, Saa 9.00. Za Usiku nilikuwa tayari Uwanja wa Ndege Terminal 1 kwa ajili ya Safari.

Basi Leo nikajikuta naangukia Mikononi mwa Maafisa usalama (TISS) na Maafisa Ujamiaji wa Uwanja wa Ndege JKNA,Kisha kupelekwa Kwenye kachumba Maalum kwa mahojiano zaidi.

Huko niliwaeleza kuwa
1.Mimi si Mwajiriwa wa Serikali hivyo sipaswi Kuomba Kibali IKULU.

2.Mimi sikuwa Naenda kuhudhuria Shughuli yeyote kwa Nafasi yangu kama Meya bali Matembezi Binafsi.

3.Sikuwa natumia gharama za Serikali/Halmashauri wala sikugharamiwa na Mfadhili au shirika lolote bali ilikuwa ni pesa kutoka Mfukoni Mwangu.

Pamoja na yote hawakuniachia,
Niliendelea kuwa kizuizini kwa Muda wa Takribani Masaa 3 kuanzia saa 9 Usiku Mpaka Saa 12.

Wakati huo Dakika 10 mdege kuruka, Nasikia nikiitwa kwenye Matangazo ya Ndege kuwa ni "Boniface Jacob is Missing Passenger" niliye jiorodhesha kuwa nipo Uwanjani hapo ila awajui nimepotelea wapi.

Baadae huyo Maafisa Usalama na Uhamiaji na mtu waliyekuwa wanaongea naye wa IKULU aliwaamuru waniache niendelee na Safari,Lakini ilikuwa Imebakia Dakika 10 ndege Kuruka.

Basi Ikawa zamu ya SOUTH AFRICAN AIR WAYS Kuwagomea Maafisa Usalama na Uhamiaji,kwamba Kwa Mujibu wa Taratibu zao walisha niondoa kwenye Orodha ya watu wanaosafiri(Off loading)

Na kweli ndege iliruka nikiwa Uwanjani hapohapo

Leo ni Safari yangu ya Tano narudishiwa Airport na maafisa Usalama na Uhamiaji kwa Kisingizio kuwa Mpaka Kibali Kitoke IKULU.

Safari hii nitaenda tena kuipambania kwa Sababu,nilizotaja hapo Juu,
wala sitokubali Ushauri wa wanaoniambia nipote Njia ya panya Mpaka Msimbiji au Zambia kwanda South Africa,

Sababu Mimi ni Mtu huru siko kifungoni,Wala sina Order ya Mahakama ya Kunizuia Kusafiri kwenda Popote,

Kwa Sababu Mialiko ya kikazi nimeuziwa Minne nikiwa AIR PORT na Moja Ilikuwa Mbaya Sana nilifuatwa kushushwa kutoka Kwenye Ndege,

Na Miaka 3 sasa hata nilipoamua kujishusha Kuomba kibali IKULU Katika Mialiko 20,Sijawahi kupewa Kibali hata 1, Mpaka Leo hii nina Mialiko kama Meya wala sijishughulishi nayo sababu najua Sitoruhusiwa.

Kwa nini na Safari binafsi wanizuie? Nitaitafuta Haki yangu ya kwenda popote! Wala sienda Nje ya nchi kwa kwenda kupandia Ndege Nairobi

Boniface Jacob
Msahiki Meya
Manispaa ya Ubungo
Huko SA mwenyeji wako ni nani?!

Isije kuwa yule mkulima!
 
Daaah pole mayor ila yana mwisho
 
Back
Top Bottom