Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

Lema (MB) aliwai kumvisha kibaka gwanda la Caremark zilizokuwa mitumbani. Eti akidai JWTZ wanawaunga mkona. Wakati akijua zile nguo azikuwa za jwtz. Na hii ni hivyo hivyohivyo.
 
Kila taifa lina mapito yake, hata kama siyo lazima tuuane kama wao, lakini kuna aina fulani ya mapito ambayo hatuna budi kupitia. Na siku zote mapito yawe ni ya aina yoyote ile, huwa siyo jambo la kufurahisha au la kupendwa na wale wanaopitia mapito hayo.

Kwa kifupi ni kwamba watu wasione nchi zingine zina sheria bora wakafikiri nchi hizo zilitunga tu hizo sheria bila kupitia kwanza vikwazo vilivyopelekea kutungwa kwa sheria hizo. Nchi kama Ufaransa, wameuana sana kufika hapo walipofika. Nchi kama USA wamekiuka sana haki za maelfu kama siyo mamilioni ya raia wake kufikia hapo walipofikia leo. Hakunaga short-cut, ni lazima nchi ipitie kipindi kigumu ili kwenda kwenye kipindi kizuri.

Amen!
 
Ukisema Basi la Yanga SC limepakia Bangi / Bange hivi hapo ' Kimantiki ' tu hujaihusisha moja kwa moja Klabu ya Yanga kwa hilo tatizo? Kweli sasa nimeamini kwenda Shule na Vyuoni sana hakumaanishi kuwa ni Kuelimika hasa Kitaaluma. Kazi ipo hakyanani!

Huu mfano wako ni tofauti na huo wao!
 
Nimekuwa nikifuatilia Mambo kwa umakini mkubwa kwenye mitandao na maeneo husika...
Mmmh

Kna jambo baya sana
IlabJacob...analifahamu kuwa hata hao watu wanamfahamu na anajua kosa lake

Amachokifanya ni kutafuta Media Suport...
Time will tell hii sio ya kusingiziwa

Hata mbele za mumba Huko akienda kwa wakati wake atasema ukweli.

Asipende kutafuta huruma ya Wananchi mbele ya Anachokijua anakifanya na anawajua anaofanaya nao.

Mlikosea wenyewe kuanza kumprovek nyoka Pangoni...tena Black mamba.
Jiwe
Malaika
Dereva wa lr

Mbinu yenu mliyoitumia ni ya kitoto...

Mnawaamini sana watu wanajifanya kuwa upande wenu...

Yani poleni
Sijui umiandika uchafu gani
kwani ulivotoka msalani hukusafisha niniliu
 
Back
Top Bottom