Meya Boniface Jacob: Askari wa JWTZ wamepekua nyumbani kwangu na kuwaweka chini ya ulinzi bila kibali!

Phd Hewa

JF-Expert Member
Oct 3, 2016
572
500
Kwa mujibu wa Meya Boniface Jacob:

“Nyumbani kwangu Wamevamia Askari wenye Uniform za JWTZ watatu na Mmoja wao Amevalia kiraia na ana Video Camera,wameiweka familia chini ya Ulinzi, Wanapekua kila Mahali Vyumbani, Bila mimi Mwenye nyumba, Polisi, Mjumbe kuwepo...Naelekea huko muda huu”

Ameandika

Screenshot_20180422-221316.jpg
 

Stanley Mitchell

JF-Expert Member
Jan 2, 2014
4,588
2,000
Hakuna kitu kizuri kama utawala wa sheria na utawala bora ..

I admire sana the mighty American Legal System yani huwezi kukuta upumbavu kama huu eti "usalama wa taifa" wanavamia kukupekua kizembe zembe bila hata search warrant...
aisee kujua haki zako ni muhimu sana

Yani hapa Tanganyika eti polisi akienda kukamata mtu eti cha kwanza ni "uko chini ua urinzi" then "Tanganyika Jeki" kinachofatia mateke na virungu...

Wakati mbele polisi asipokuambia "YOU HAVE THE RIGHT TO REMAIN SILENT" hata kama umeua watu 100 ukifika mahakamani hakuna kesi apo utaskia judge anasema ukamataji haukua sahihi ulivunja haki za mtuhumiwa... The defendant is free to go.
Very simpo like that.

Hakuna magumashi wala ntimanyongo kesi ikienda mahakamani hao prosecution wakianza kusema oohh upelelezi haujakamilika tunaomba uhairishe...Judge anasikika akisema "NO TIME FOR BULLSHIT! CASE DISMISSED" ...yani hakuna cha kesi kupigwa dana dana wala nn anakuambia kama hujakamilisha upelelezi kwanini ulimkamata mtu wakati hukua na upelelezi wa kutosha? Au ulikua unahisi sio?

Ila huku Tanganyika cheki KALASINGA na RUGEMALILA wanavyopigwa dana dana mithili ya Ronaldinyo Gaucho awapo uwanjani mpaka sasa PUTO la KALASINGA linakaribia kupasuka!

Huku Tanganyika ukikaa kimya polisi kugoma kuongea wanasema una kiburi eeh utarijua hiri jeshi ra porisi
kumbe UNA HAKI YA MSINGI YA KUAMUA KUTOONGEA CHOCHOTE KILE UKIWA POLISI ZAIDI YA KUTOA MAELEZO YA UTAMBULISHO km jina umri dini anuani ya makazi basi...

Akiuliza maswali mengine SIMPO mwambie sio jukumu langu kukusaidia upelelezi mimi kujibu maswali yako ina mana nakusaidia upelelezi sasa, so ashakumu si matusi sijibu chochote kile nipelekeni Mahakamani nitajibia huko! Hapa natekeleza Haki ya Yangu ya Kukaa Kimya!

sema ukiwaambia ivo eti wanakubambikia "kosa ra kubishana na chombo cha dora"!

Aisee we have a long way to go...iyo Tanganyika ya viwanda itaendelea kua viwanda vya cherehani 4....
 

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,615
2,000
Nyumbani kwangu Wamevamia Askari wenye Uniform za JWTZ watatu na Mmoja wao Amevalia kiraia na ana Video Camera, wameiweka familia chini ya Ulinzi, Wanapekua kila Mahali Vyumbani,Bila mimi Mwenye nyumba, polisi,Mjumbe
kuwepo...Naelekea huko muda huu


 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom