Meya azuiwa tena kuingia kwenye kikao

Flight_controller

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
244
394

=====

Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Mbweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam .

Sakata la leo limetokea mbele ya mabalozi wa nchi za nje wanaowakilisha nchi zao Tanzania waliofika kikazi ktk eneo la ofisi za meya . Kiitifaki Meya Isaya Mwita Charles anatakiwa awapokee kwa niaba ya wananchi wa Dar es Salaam.

Sakata la meya lilianza baada ya kura za kumuondoa kisheria ya 2/3 za madiwani wote kabisa waridhie aondoke kwenye umeya kushindikana kupatikana. Sasa suala hili limekuwa la kisiasa zaidi kwa mkurugenzi wa jiji na serikali ya CCM kufanya kila linalowezekana kumzuia meya kuingia ofisini na hata kufikia kumzuia meya ambaye ni diwani kuhudhuria vikao kama diwani.

Source: Global TV online
 
January 23, 2020
Dar es Salaam Tanzania

Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Vijibweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam .

Sakata la leo limetokea mbele ya mabalozi wa nchi za nje wanaowakilisha nchi zao Tanzania waliofika kikazi ktk eneo la ofisi za meya . Kiitifaki Meya Isaya Mwita Charles anatakiwa awapokee kwa niaba ya wananchi wa Dar es Salaam.

Sakata la meya lilianza baada ya kura za kumuondoa kisheria ya 2/3 za madiwani wote kabisa waridhie aondoke kwenye umeya kushindikana kupatikana. Sasa suala hili limekuwa la kisiasa zaidi kwa mkurugenzi wa jiji na serikali ya CCM kufanya kila linalowezekana kumzuia meya kuingia ofisini na hata kufikia kumzuia meya ambaye ni diwani kuhudhuria vikao kama diwani.

Awali Sakata hilo lilifikishwa mahakamani lakini kesi iliondolewa baada ya kufahamika kuwa Meya hakuwa ameondolewa kwa kuwa akidi haikuwa imefikiwa hivyo hakuna msingi suala hilo kufikishwa Mahakamani.

Source: Global TV online
 
=====

Fujo ZAIBUKA...Azungumza! Meya wa jiji la Dar Isaya Mwita ambaye ni pia ni diwani wa Mbweni amezuliwa na Askari Kuingia ofisi kwake alipoenda kwa ajili ya kuhudhuria vikao vya Halmashauri. Madiwani wote ni wajumbe wa vikao kuhusu masuala ya jiji la Dar es Salaam .

Sakata la leo limetokea mbele ya mabalozi wa nchi za nje wanaowakilisha nchi zao Tanzania waliofika kikazi ktk eneo la ofisi za meya . Kiitifaki Meya Isaya Mwita Charles anatakiwa awapokee kwa niaba ya wananchi wa Dar es Salaam.

Sakata la meya lilianza baada ya kura za kumuondoa kisheria ya 2/3 za madiwani wote kabisa waridhie aondoke kwenye umeya kushindikana kupatikana. Sasa suala hili limekuwa la kisiasa zaidi kwa mkurugenzi wa jiji na serikali ya CCM kufanya kila linalowezekana kumzuia meya kuingia ofisini na hata kufikia kumzuia meya ambaye ni diwani kuhudhuria vikao kama diwani.

Source: Global TV online
Sasa si Diwani huyo kwanini wamzuie.

Ujinga

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
..kumtishia Mstahiki Meya Isaya Mwita risasi ni jambo la kipuuzi sana.

..sielewi kwanini suala hili limeshindwa kumalizwa kwa njia za kistaarabu.
 
Hata hili mtamsingizia Kangi Lugola?
Wizara ya Mambo ya ndani kuna nini mpaka mnamsumbua Mh. Rais? Wakati Kangi anatumbuliwa huku pembeni polisi wanamsulubu Mh. Meya!
 
Niliandika hapa na nitazidi kuandika Tena na Tena as long as nipo hai,,ni hivi wanaohusika kumshauri huyu mkurya wamueleze Hali halisi kuliko kuishi na nightmare ni heri akashika hamsini zake afanye kazi/shughuli nyingine kuliko kusumbuka na umeya ambao tayari ameshatolewa!!!
Kifuatacho wote mtamhurumia.
 
lengo la ccm ni kuiba hela halafu wakishachota wamsingizie Meya ili afunguliwe kesi ya utakatishaji
Acheni kung'ang'ania madaraka, meya hela anabeba kwenye briefcase au!! Sababu zenu hazina mashiko
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom