meya arusha akanusha kua hawezi jiulzulu

nzom

Senior Member
Nov 6, 2010
180
31
haya kama kuna jinamizi linakuja ni hilo kwani meya lyimo hatki kujiuzulu mbona naibu wake kajiuzulu na hakuna matata na mbona diwani wa c.cm alikuja kwenye mkutano wa cdm na alipokewa kwa nini chitanda anakua na roho ngumu kwa namna moja nakuombeni sana mumshauri kwani hata kuongoza kwake itakua ngumu sana:disapointed:
 
huyu atakuwa sio Mbongo, labda ni mtani wetu wa jadi au inawezekana m-Maasai huyu! unaweza andika kilugha humu watu watafsiri...
 
Sema meya arusha kagoma kujiuzulu!!! Pamoja na kugoma kwake-atajiuzulu kwa lazima kwa ngumu ya umma! Peoples!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom