Mimi ni mwanachama wa Metropolitan insurance company, hii kampuni mwanzo niliamini kuwa ni moja ya makampuni mazuri ya bima hapa Tanzania, lakini kila kukicha hii kampuni inazidi kupoteza mwelekeo kwa kias kikubwa.
Moja ya taratibu ambazo zilwekwa ni kwamba, iwapo utaenda hospitali fulani au iwapo utanunua dawa fulani unatakiwa kusubmit risiti au document yoyote ambayo umeandikiwa na doctor pamoja na ghalama ulizotumiwa ili uweze kuclaim pesa zako na kulipwa.
Kinachosikitisha ni kwamba, ukisubmiti claim zake inachukua si chini ya wiki tatu na kuendelea, nashangaa sana na sielewi ni nini hasa kinachelewesha ulipwaji wa hizi pesa kwa wakati, ni mara mia wawe wazi na kueleza wateja wake sababu za kuchelewesha malipo.
Tatizo lingine ninaliliona ni kwamba, kampuni hii ya bima inametoa maelekezo kwa baadhi ya hospitali kutotoa baadhi ya madawa kwa wagonjwa wake, nashindwa kuelewa sababu mimi si mtaalam, lakini ni nini maana ya insurance company na faida zake ni zipi kwa mteja wake iwapo unamzuia asipewe baadhi ya dawa katika hospitali?
Binafsi najuta na sifurahii kabisa huduma ya hawa watu sababu sioni maana ya kuwepo kwao kwenye huduma ya afya,