figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Duh!wahindi wameruka mtego wa ngiri..
Umekosa kiungo muhimu sana.Hii ndio shida ya kufanya kazi kwa kutafuta sifa.
Kuna kitu kinaitwa Professionalism, utawala huu hauna icho kitu kabisa.
Kodi inalipiwa wapi?Kuna uwezekano wamelipa lakini kuna watu wakaweka pesa mfukoni na kutoa stakabadhi fake.
Tanzania kila kitu kinawezekana!
Waapiii mlikuwa munatest zari! Angelegea mungempiga kama mulivyompiga mwenyekiti.Kuna uwezekano wamelipa lakini kuna watu wakaweka pesa mfukoni na kutoa stakabadhi fake.
Tanzania kila kitu kinawezekana!
Kumbe serikali haikupaswa kutuma "mkusanya madeni" kabla ya kuwasiliana na METL juu ya hilo "deni"! Tatizo lililo wazi sasa ni serikali kuchagua kufanya kazi kwa vitisho...Kuna uwezekano wamelipa lakini kuna watu wakaweka pesa mfukoni na kutoa stakabadhi fake.
Tanzania kila kitu kinawezekana!