Messrs: Laptop inanipa ujumbe NO SUCH PARTITION

achengula

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
369
62
Wana JF, laptop yangu kunapartion nimeona delete kimakosa lengo ilikuwa ni kushirink kasa ikaenda kwenye kudelete. Haikuwa drive C. Sasa laptop ikiwaka inanipa ujumbe juu
-Error: No such partition
Entering rescue mode
Grub rescue>
Msaada nifanyeje ili iwake normally?
Natanguliza shukrani.
 
hiyo utakuwa ume-delete partition C tu, pole sana. chukuwa hdd peleka wakufanyie data recovery kwanza kabla ya kufanya kingine chochote
 
Data naweza kuzipata maana nyingi ziko online clouds( dropbox)
 
Grub ni linux, so ni nini exactly ulikuwa unafanya? Kama hauogopi kupoteza data basi format kila kitu anza upya.
 
Kama Unahitaji partition recovery (usiendelee kuitumia) kama hujaiharibu bado tucheck hapa.
Kama sio data za muhimu formart na ufanye kitu kingine.

Ulikuwa unafanya dual boot? Maana inaonekana kama partition yenye MBR ndio imefutwa!
 
njia rahisi kama data utazipata format tu uendelee na ishu nyingine
 
Ni kweli nilikuwa nafanya dual boot, sasa nilitaka nishrink partition mojawapo kuongeza free space. Sasa badala ya kushirink nikadelete kwa bahati mbaya. Najaribu kuformat sasa nitwapa feed kitakacho kilo. Nashukuru kwa ushauri wenu.
 
Nimejaribu kuboot from CD inakaa kwa muda wa Davila 20 huku nembo ya Windows 8 ikionekana na tunukta tunatozunguka kwa chini yake. Kisha inaleta ujumbe ule ule
Error:
No such partition
Entering rescue mode
Grub rescue>
Msaada zaidi unahitajika
Nipo Morogoro
 
Nawashukuru sana wadau wote kwa Msaada wenu, hatimaye nimefanikiwa. Nilijaribu OS ya Linux, Windows 8 na Windows XP Soft N zote zikashindwa. Nimetumia Windows 7 professional imekubali. Ila par
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom