Messi mwanaume mwenye mke 1, Ronaldo mwanaume wa michepuko

ChizzoDrama

JF-Expert Member
Sep 29, 2019
1,317
1,229
Ifike muda nadharia hizi tuzilete katika mazingira halisia

Unaposema Messi sio bora kwa kuwa amedumu katika ligi moja bila kutafuta challenge sehemu zingine
hivi ulishawahi kujiuliza ugumu wa kudumu na mwanamke mmoja? Yaani utulie tuli bila kuchepuka zaidi ya miaka 10 bila kuonyesha kutetereka katika ndoa, fikiria hili ndo uone MESSI anastahili pongezi

Pia mwanaume kuwa na michepuko mingi na kutimiza vyema majukumu yako vyema bila kuonyesha madhaifu
Hii ndiyo sababu pia ronaldo apewe heshima yake

Mwisho nimalize kwa kumpongeza KING LEO , LAPURGA a.k.a football messiah

Ni mtazamo tu
 
Messi anakipaji halisi cha mpira, hayo ya kucheza ligi 1 ni hoja za kipuuzi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom