Messi Kuondoka Barcelona Soka La Ulaya Limepoteza Msisimko

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Sijui kama ni mimi tu naliona hili au vipi.

Kitendo cha Messi kuondoka katika Ligi ya Uhispania kulikotokana na Klabu kubanwa sana na sheria yao La liga ya matumizi ya pesa ligi ya nchi hiyo na ule ushabiki na hamasa fulani imepungua sana huko uhispania na hata ulaya yote

Unakuja kuona Fc Barcelona yenye Messi ilikua inaleta changamoto kubwa sana katika soka la ulaya.
Leo hii hata ile uefa champions league yenye raha na msisimko tuliyozoeaga haipo tena.

Na kwa hili pia hata akina Cr7 na Ramos nao kuihama Real madrid si tu kuwa kumepunguza radha ya la liga bali hili limeathiri ulaya nzima.

Dunia sasa ni kama hakuna mchezaji ambaye anakushawishi uwe na hamu ya kufuatilia hasa michuano au mechi nzuri za ulaya kama tulivyozoea ndani ya miaka kumi iliyopita

Kama kuna kosa kubwa wanalopaswa kulaumiwa bodi ya ligi ya hispania La liga ni ile sheria yao mbovu ya kuvuka matumizi makubwa ya pesa,ukweli wameondoa mvuto/raha ya soka la Ulaya.
 
Michuano ya ulaya imekua na mvuto tangu zama za kina maldini hadi leo bado ina mvuto. Wachezaji tajwa bado wako kwenye timu kubwa ulaya kushiriki pia wanashiriki au unalalamika nini.

Sema ni mawazo yako siwezi kukupinga. Ila michuano ya klabu za ulaya ni moja ya michuano bora kabisa kutazama
 
Labda huko kwenu Nanjilinji ndio msisimko umepungua , Kama sio umetumia vigezo gani kusema msisimko umepungua?
Mfano rahisi.
Aondoke Mayele yanga aende Dodoma jiji hapo yanga nafasi yake izibwe na akina Kaseke na Ngushi...halafu yanga wazuiwe kusajiri mchezaji mkali yeyote(kwa kigezo cha pesa kuzidi kiwango)
Bado unategemea msisimko hapo yanga?...bado unategemea perfomance ya mayele itakua ile ile ya yanga?
 
Kwa hiyo UFARANSA haiko ULAYA?
Tatizo sio nchi ni wapi mchezaji anakwenda kucheza yaani uwezo wa timu aendayo na combination pia..inakua ngumu
Mfano unaona leo hata Cr7 anavyoshindwa ku fit Man united japo anafunga..
 
Kwanini wasing'ae huko walipo maana bado wapo club kubwa tu huko barani Ulaya!?
Klabu kubwa ni majina tu lkn hakuna lolote na bado nyingi zina stuggle...

Kwa kweli timu kufikia kiwango cha world class si kitu kidogo

Fc barcelona
Real madrid
Bayern

Hizi timu zimefanikiwa vzr...unapozibomoa vinabaki vitimu tvyenye uwezo mdogo na ndio eti vinatamba sasa hivi mf Liverpool
 
Mfano rahisi.
Aondoke Mayele yanga aende Dodoma jiji hapo yanga nafasi yake izibwe na akina Kaseke na Ngushi...halafu yanga wazuiwe kusajiri mchezaji mkali yeyote(kwa kigezo cha pesa kuzidi kiwango)
Bado unategemea msisimko hapo yanga?...bado unategemea perfomance ya mayele itakua ile ile ya yanga?
Hujajibu swali , umetumia vigezo gani? Au unahisi tu?
 
Klabu kubwa ni majina tu lkn hakuna lolote na bado nyingi zina stuggle...

Kwa kweli timu kufikia kiwango cha world class si kitu kidogo

Fc barcelona
Real madrid
Bayern

Hizi timu zimefanikiwa vzr...unapozibomoa vinabaki vitimu tvyenye uwezo mdogo na ndio eti vinatamba sasa hivi mf Liverpool
Liverpool ni timu ndogo ....

Mimi sio shabiki wa Liverpool lakini inaonesha wewe ni falaaa
 
Mfano rahisi.
Aondoke Mayele yanga aende Dodoma jiji hapo yanga nafasi yake izibwe na akina Kaseke na Ngushi...halafu yanga wazuiwe kusajiri mchezaji mkali yeyote(kwa kigezo cha pesa kuzidi kiwango)
Bado unategemea msisimko hapo yanga?...bado unategemea perfomance ya mayele itakua ile ile ya yanga?
Yanga ilikuwepo kabla ya mayele.watu wenye akili walishatoka kwenye dunia yakumtegemea mtu au jina kubwa la mtu.Perfomance ya timu kwa ujumla ndiyo inayoleta matokeo sio swala la kua na mchezaji mwenye jina kubwa kikosini.Mayele ameonekana mzuri kwasababu ya kikosi chote cha yanga kiko vizuri.
 
Michuano ya ulaya imekua na mvuto tangu zama za kina maldini hadi leo bado ina mvuto. Wachezaji tajwa bado wako kwenye timu kubwa ulaya kushiriki pia wanashiriki au unalalamika nini.

Sema ni mawazo yako siwezi kukupinga. Ila michuano ya klabu za ulaya ni moja ya michuano bora kabisa kutazama
Unasema yupo sahihi 100℅ utakuwa wewe siyo mfuatiliaji wa soka
 
Mfano rahisi.
Aondoke Mayele yanga aende Dodoma jiji hapo yanga nafasi yake izibwe na akina Kaseke na Ngushi...halafu yanga wazuiwe kusajiri mchezaji mkali yeyote(kwa kigezo cha pesa kuzidi kiwango)
Bado unategemea msisimko hapo yanga?...bado unategemea perfomance ya mayele itakua ile ile ya yanga?
Messi angeenda Granada ama Levante mfano wako ungekua sahihi ila Ameenda Timu Bingwa wa Nchi Nyengine. Ni kama Mchezaji Atoke Al Ahly Misri aende Orlando pirates.
 
Hata hivyo Messi hakua yule Messi tuliyekua tumemzowea enzi akiwa na kina Xavi na Iniesta,
Barca ya Messi ilipigwa goli 8 na Bayern Munich kama unakumbuka,

Kila jambo lina mwisho wake na haijalishi wewe ni nani but u will always be replaced.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom