Message ya Mwananchi kwenye FB ya Mh. Nnauye kuhusu kiwanja UVCCM kumiliki na sio chao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Message ya Mwananchi kwenye FB ya Mh. Nnauye kuhusu kiwanja UVCCM kumiliki na sio chao

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nngu007, May 11, 2011.

 1. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Kiwanja hiki ni Makumbusho ya Azimio la Arusha, kipo Igogo Mwanza, UVCCM wanataka kubadili matumizi ya kiwanja hiki, kiwanja hiki kimejengwa, na wala sio mali ya CCM, kwani Azimio la Arusha lilikuwa swala la kitaifa. katika siku ya 90 ya Gamba. kutakuwa na nyama choma pamoja na Kupinga ufasadi wa CCM wa kuiba viwanja vya serikali.

  View attachment Mashughuli ya CCM.docx
   
 2. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Katika Dunia ya sasa sijawahi kuona chama kinamiliki viwanja na mali kama hiki chama cha mapinduzi hii mantiki wameipanda kwa ndugu zao wa Kanu walimiliki kila kitu hadi barabara, lakini wind of change ilipowashukia hata gazeti walishindwa kulichapa KENYA TIMES

  The one of the pillars of 'political correctness' is a steadfast refusal to face the truth...
   
 3. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wao wamiliki tu sisi tutakuja kutaifisha, waliowapa hatimiliki kuwafunga
   
 4. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,055
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Ipo siku isiyo na jina yaja, na yatakwisha yote. Ze magambaz mjuwe.
   
Loading...