Message inasemaje??? At least we know nani unawasiliana nao kwa daily basis....lol

Ah, kama ni hivo mi sisemi basi maana it is the amount, transfer code na secret question ya umoja wa magharibi (Western Union), dada yangu ananitumia ka emergency something niweze kuenjoy weekend. Abarikiwe sana dada yangu kwa maana I was broke like a hore in her period.
 
share na sisi bwana loh mbona wote tumesema mdo sheria ya hii thread
 
Kama ulishatembea na x@@@ POLE!Kama hujatembea nae USITHUBUTU tena usitake mazoea nae..................From a friend at 11:06:47

OMG!!! Baba Sharon hopefully hujatembea nae aisee!! lol... (naamini hujatembea nae maana upate such a message alafu uwe na nguvu hapa-nahisi ungekua kitandani.....)
 
Ah, kama ni hivo mi sisemi basi maana it is the amount, transfer code na secret question ya umoja wa magharibi (Western Union), dada yangu ananitumia ka emergency something niweze kuenjoy weekend. Abarikiwe sana dada yangu kwa maana I was broke like a hore in her period.

Hii ndio nafasi nzuri ya kujaribu uaminifu wa JF mie naona ungeiweka tu. Magreti thinka hawawez kuiba, kwanza sheria za JF haziruhusu hata kuiba ID ya memba achilia mbali feza.
 
share na sisi bwana loh mbona wote tumesema mdo sheria ya hii thread
Wajanja ni wengi humu Bebii. Mtu kama wewe ukipata hiyo message unawahi ku-forge ID na kupokea hela on my behalf alafu na mimi nakua na weekend kama ya Preta! lol
 
Wifi nakuamkua,sabalakheri. Umeanza zilke investigations za small house eh?mie data collector,naweka kumbukumbu so sitosema.

Hahahaha.... My best Wifi King.... habari yako bana... mie so happy to see you this weekend is getting beta.... How ever nimesalimiwa leo asubuhi na kakako aka Mupenzi.... nina wasi wasi kua hamjawahi tumia that line mara... Vuu!!! wote the same day mtumie the same line.... Reading btn the lines.....

Investigation in progress... Results very promising.. Waume watajibamba safai hii.....lol... (Missed you)
 
Wajanja ni wengi humu Bebii. Mtu kama wewe ukipata hiyo message unawahi ku-forge ID na kupokea hela on my behalf alafu na mimi nakua na weekend kama ya Preta! lol
ahahaaa rr acha kumuongezea preta machungu jamani
 
Ah, kama ni hivo mi sisemi basi maana it is the amount, transfer code na secret question ya umoja wa magharibi (Western Union), dada yangu ananitumia ka emergency something niweze kuenjoy weekend. Abarikiwe sana dada yangu kwa maana I was broke like a hore in her period.

Hahahahah.... Usijali for nimepata nilotaka... You are close to your sis... mnapendana.... Upo exposed.... ni intellect... and so forth... not bad at all my alter ID....lol
 
Wajanja ni wengi humu Bebii. Mtu kama wewe ukipata hiyo message unawahi ku-forge ID na kupokea hela on my behalf alafu na mimi nakua na weekend kama ya Preta! lol

he he he....ukipokea mzigo nijulishe nije kukupa company....
 
njoo hapa kona mbauda nakusubiri leo sijaja na gari langu nipo na gari la myfriend!

Hio naona ni meeting ya kuelekea counter ya juu (wacha nijifanye sijaelewa....lol) Au nimekosea??
 
Unfortunately i remember most about most hapa JF.....lol.. You among... Hivo saizi my mission please "Like" OR "Love" PAW....lol
PAW kwenye lile jukwaa la siasa ananionea!! Am not sure, kati yake au Invisible kuna mtu alinipa ban ya siku tatu kwa kosa la name calling. But they are doing a grt job. Wengine tukiachiwa bila control. Yoyote hali ya hewa lazima ichafuke!!
 
OMG!!! Baba Sharon hopefully hujatembea nae aisee!! lol... (naamini hujatembea nae maana upate such a message alafu uwe na nguvu hapa-nahisi ungekua kitandani.....)
Guess what the sms was not mine..................mshkaji kakosea kanitumia ila nilishtuka maana majina ya mnadani ni mengi na nilishawahi pita na jina kama alilonikanya nalo
 
Back
Top Bottom