message from Global publishers!

eRRy

JF-Expert Member
Jun 12, 2009
1,125
204
1267000409_gpl.jpg

KWA TAKRIBANI WIKI MOJA SASA, TUMEKUWA HATUTOWI KWA KINA HABARI ZINAZOONGOZA KWENYE MAGAZETI YETU, IKIWA PAMOJA NA HADITHI ZA SHIGONGO NA MIKASA YA KUSISIMUA. HATUA HII ILICHUKULIWA BAADA YA KUTOKEA HALI YA SINTOFAHAMU KUHUSU MUSTAKBALI WA MAGAZETI NA MITANDAO NCHINI TANZANIA NA HUJUMA ZINAZOFANYWA NA BAADHI YA WANAMTANDAO WA KUNAKILI KAZI ZETU NA KUZITUMIA KWINGINE KWA MANUFAA YAO BINAFSI.

HATA HIVYO, BAADA YA MAJADILIANO NA UONGOZI WA GPL NA KUFANYA UTAFITI WA KINA KUHUSU MUSTAKABALI WA MITANDAO NA MAGAZETI NCHINI TANZANIA, TUMEAMUA KUREJESHA UTARATIBU WA ZAMANI WA KUWAPENI HABARI, HADITHI NA MIKASA KIUKAMILIFU KUANZIA FEBRUARI 24, 2010! TUNAJUA NI KIASI GANI TUTAKUWA TUMEWAKWAZA WAPENZI WASOMAJI WETU, HASA WALE WA UGHAIBUNI, LAKINI TULIKUWA HATUNA BUDI KUCHUKUA HATUA HIYO. HIVYO TUNACHUKUA FURSA HII KUWAOMBENI RADHI KWA DHATI KABISA KWA USUMBUFU ULIOJTOKEZA.

WAPO WALIOAHIDI KUACHA KUTEMBELEA TENA MTANDAO HUU, LAKINI TUNA WASIHI WASITISHE UAMUZI WAO NA WAREJEE TENA, WATUSAMEHE MAKOSA YETU NA WAJUE KUWA KUFANYA MAKOSA NI SEHEMU YA MAISHA NA HAKUNA BINADAMU ALIYEKAMILI. HADITHI ZILIZOKATISHWA ZOTE HADI WAKATI HUU ZIMEREJESHWA KUANZIA PALE ZILIPOISHIA, HALIKADHALIKA MIKASA NAYO IMEENDELEZWA PALE ILIPOISHIA, ISIPOKUWA MICHACHE TU.

MWISHO, KWA NIAMBA YA UONGOZI WA GPL, NAWASHUKURU KWA UVUMILIVU WENU NA NAWAKARIBISHENI KWA MARA NYINGINE KUFURAHIA KILE MLICHOKIKOSA KWA WIKI NZIMA!

ASANTENI - WEB MASTER
 
Huwa siyasomi hata hivyo. Ni bora hata mgetokomea huko gizani mlikokuwa!
 
Nasikia magazeti haya yalianzishwa na kijana mwingine aitwaye Mashaka Matongo. Biashara ikamshinda (siku hizi wanasema kafulia) na akayauza kwa Erick Shingongo. Mashaka Matongo alikuwa kijana aliyeanzisha uchapishaji wa UDAKU katika high scale. Erick alikuja akanunua na akaendeleza.

Humo ndani ya magazeti hakuna la maana zaidi ya habari za ugoni, wizi, picha za uchi, madawa ya kulewa nk. Yaani zile zote habari tabu. Ni kama Zeutamu ila tu yenyewe wanaandika magazetini na kushambulia watoto wa masikini.....
 
haya ndio magazeti yanayodumaza ubongo kwa watu wengi

Halafu jamaa wanauza zaidi kuliko hata magazeit ya maana! Jamaa kweli ni mjasiliamari maana amelenga soko la Watanzaia walio wengi ambao hawataki mambo mazito mazito, wanataka mepesi mepesi. Kigogo kafumaniwa, Pro J aporwa cheni na kadhalika!

At the end of the day, Eric Shigongo is now among the few rich people in Tanzania!
 
All in all kwa usawa huu... Mara Mafisadi,mara kashfa za BOT,mara safari za JK,Mara bunge limefukia hoja Richmond,Umeme,maji,hewa ya mgawo,Beach plots zauzwa,kiwango cha wasionacho na wenye nacho kinakua kwa kasi ya ajabu... Magazeti yako biased... Rostam kanunua Habari corp... Magazeti ya UDAKU ndio yanabaki habari za maana kwa wananchi bila kusahau Vipindi vya Mipasho kama LEO TENA,MIRINDIMO YA PWANI ETC...Mastaa wanakua DIDA WA MCHOPS,GEA HABIB,DINA MARIOUS,SAUDA MWILIMA,MAIMATHA JESSE.

Si ajabu ukaenda uswazi ukauliza mtu maarufu hapa nchini ukambiwa Mzee Yusuf... ARAMBA ARAMBA TENA HAM! HAM! ndo house hold slogan kwa watoto... Asante Shigongo kwa kuwasahaulisha walalahoi matatizo ya nchi yao...
 
Na sisi wengine ambao tunaona magazeti hayo hayatufai, tukitoka kazini moja kwa moja kwenye TUSKER BARIDI...... :) Na Heineken Chipolopolo... :) Mradi kunakucha kwani kitu gani bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom