Merry Xmas and Happy New Year

Z
 
wewe unahitaji tiba maalum, u wapi ukristo hapo.......
Nitafakari huu upu.mbavu? hii ni kejeli kwa ukristo na wakristo

wewe unaona akiri kupinduwa neno la dini/imani ya wengine na kulifanyia mzaha?
 
wewe unahitaji tiba maalum, u wapi ukristo hapo.......

Soma kilichoandikwa ndani ya picha ulioiweka kisha oanisha na hii kauli yako - Kisha tafuta definition ya sentensi

hizi mbili umpatie mkristu na kumwambia zinamaana sawa. Ulikuwa na maneno mengi ya hekima kuyatumia sio hicho

ulichokiandika

[h=2]Mary Crisis and Happy Newr Fear[/h]
attachment.php

[h=2]Mary Crisis and Happy Newr Fear[/h]
 
basi nimeamua kuwa mpole mkuu, nimewaomba mods wanisaidie kubadili tittle
Soma kilichoandikwa ndani ya picha ulioiweka kisha oanisha na hii kauli yako - Kisha tafuta definition ya sentensi

hizi mbili umpatie mkristu na kumwambia zinamaana sawa. Ulikuwa na maneno mengi ya hekima kuyatumia sio hicho

ulichokiandika

Mary Crisis and Happy Newr Fear

attachment.php

Mary Crisis and Happy Newr Fear
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom