Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,142
- 13,216
nimejaribu, mods wanisaidie but LexAid unataka isomekeje?
nimejaribu, mods wanisaidie but LexAid unataka isomekeje?
tafakari muktadha
[h=2]Mary Crisis and Sad New Fear[/h]
wewe unahitaji tiba maalum, u wapi ukristo hapo.......
Soma kilichoandikwa ndani ya picha ulioiweka kisha oanisha na hii kauli yako - Kisha tafuta definition ya sentensi
hizi mbili umpatie mkristu na kumwambia zinamaana sawa. Ulikuwa na maneno mengi ya hekima kuyatumia sio hicho
ulichokiandika
Mary Crisis and Happy Newr Fear
Mary Crisis and Happy Newr Fear
basi nimeamua kuwa mpole mkuu, nimewaomba mods wanisaidie kubadili tittle