Merry christmas watu wa dhehebu la Orthodox!

Loftins

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
10,299
13,328
Kesho January 7/1/2019 ni siku ya kuadhimisha uzalio wa yesu kristo (Messiah) kwa watu wenye imani ya dhehebu la Orthodox.
.
Dhehebu hili linawafuasi wengi sana katika nchi za Russia, Ukraine na Thailand.

.
Niwatakie kheri ya sikukuu ya Noeli kwa watu wenye imani ya dhehebu hili.
Baadhi ya mastaa wanaoabudu katika dhehebu hili ni Zinedine Zidane na Unai emery.
 
Back
Top Bottom