Merry Christmas our beloved one in Belgium.

ndayilagije

JF-Expert Member
Nov 7, 2016
7,492
8,295
Ndo hivyo baba,hakuna aliyefikiria kuwa umeshakuwa mlemavu!wapo waliokusindikiza Nairobi,wapo waliopiga pesa kwa T_shirts za sura yako,na mengine mengi.
Ikawa asubuhi ikawa jioni,siku ya kwanza ya juma,mwezi mara paaaap! mwaka umebaki na mamaabana peke yake.
Maisha ndivyo yalivyo!bora tu nikutakie noeli njema. Ukiweza kujikongoja fika ibadani ukamshukuru Mungu aliyokutendea ni makuu.
Natumaini tutaonana tu
 
Pumbavu zako! Kejeli za T shirt za nini. ulianza vizuri kumbe umetumwa na CCM
 
Ndo hivyo baba,hakuna aliyefikiria kuwa umeshakuwa mlemavu!wapo waliokusindikiza Nairobi,wapo waliopiga pesa kwa T_shirts za sura yako,na mengine mengi.
Ikawa asubuhi ikawa jioni,siku ya kwanza ya juma,mwezi mara paaaap! mwaka umebaki na mamaabana peke yake.
Maisha ndivyo yalivyo!bora tu nikutakie noeli njema. Ukiweza kujikongoja fika ibadani ukamshukuru Mungu aliyokutendea ni makuu.
Natumaini tutaonana tu
Sengerema la John Walker mkubwa wewe
 
Back
Top Bottom