Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Merkel ndie mwanamke mwenye nguvu zaidi duniani

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yericko Nyerere, Aug 25, 2011.

 1. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #1
  Aug 25, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,240
  Likes Received: 3,782
  Trophy Points: 280
  *25.08.2011*|*02:00 UTC  WASHINGTON

  Jarida la Forbes limemtaja kansela wa Ujerumani Angela Merkel kama mwanamke mwenye nguvu kubwa kabisa duniani. Jarida hilo limemueleza Bi Merkel kuwa kiongozi asiyetiliwa shaka wa Umoja wa Ulaya na kiongozi wa uchumi wake halisi duniani.

  Orodha ya jarida la Forbes ya wanawake wenye nguvu kubwa duniani inatawaliwa na wanasiasa, wafanyabiashara wanawake na viongozi katika sekta ya habari na burudani.

  Waziri wa mambo ya nchi za kigeni wa Marekani, Hillary Clinton, ambaye alikaribia kumshinda rais Barack Obama katika uteuzi wa chama cha Democratic mwaka 2008 kuwania urais wa Marekani, ameorodheshwa wa pili, akifuatiwa na rais wa kwanza mwanamke wa Brazil, Dilma Rousseff. Hii ni mara ya tano kwa kansela Merkel kuongoza orodha hiyo.
   
 2. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #2
  Aug 25, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  DR. Asha-Rose Migiro ni wangapi?
   
 3. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  yeye ni wa 1.5 amefungana na chancelar.
   
 4. o

  omy100 Member

  #4
  Aug 25, 2011
  Joined: Jul 24, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je,anna tibaijuka ni wangapi!!!!!!!!!!1
   
 5. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #5
  Aug 25, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Hivi hawamuoni mama yetu wa Monrovia? Binafsi kwa kuiongoza ile nchi tena masikini tena ya hapa kwetu afrika na ikawa kama ilivyo leo Liberia iliyotoka ktk machafuko makuu, Ellen Salirf (sina hakika ktk uandikaji jina) ni zaidi ya mwanamke. Waache wachaguane watakavyo.
   
Loading...