Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi, kwanini madini yanakamatwa nje?

chantete

Senior Member
Nov 18, 2014
115
76
Mirerani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imara kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nje ya ukuta tatizo lipo wapi?

Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi uwezo wa kutorosha madini yetu?
 
Wana namba zako watakutafuta
tatizo nguvu nyingi akili sifuri,katika matahira na wajinga kuwahi kutokea Ni huyu mpumbavu tuliyenae

ushamba tu na kununua ndege saba ambazo zimepack tu hazimsaidii chochote mtanzania wa kati na wa chini,emirates wenyewe wanapata hasara,haya mtuambie hizo ndege zimeanza kufanya international flights???
 
Hakuna ukuta mbele ya pesa. Mule ndani kuna taarifa za uwepo wa geto la mzee wa jirani pool k game, uzio ulizungushwa kwa usalama wake na ndio maana walinzi wa ukuta ni wake, madini yote yanahamishiwa hapo jirani maana akili ya huyu jirani kuipimia na ya jiwe ni scania kwa guta.
 
Aiseee !!!
 
Mimi nitaenda nijue kuwa kweli walinzi ni wanyaru
 
Merelani ukuta umejengwa na unalindwa na jeshi letu imala kabisa sasa kila kukicha madini yanakamatwa nnje ya ukuta tatizo lipo wapi? Wanajeshi wanahusika katika hilo au wachimbaji wanawazindi uwezo wa kutolosha madini yetu?
since wanaanza huo ujenzi tulishasema hapa, madini sio maharage ili yalindwe na Ukuta.
 
tatizo nguvu nyingi akili sifuri,katika matahira na wajinga kuwahi kutokea Ni huyu mpumbavu tuliyenae

ushamba tu na kununua ndege saba ambazo zimepack tu hazimsaidii chochote mtanzania wa kati na wa chini,emirates wenyewe wanapata hasara,haya mtuambie hizo ndege zimeanza kufanya international flights???
Ww unayo akili hata ya kupeleka mtoto shule fala ww
 
Back
Top Bottom