Nyakageni
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 15,046
- 5,092
Mkuu una matatizo sana kichwani. Hebu nitafute nikutoe tongotongo ufunguke akili yakoOntario bilionea kwa migongo ya mazombie nchini
Mkuu una matatizo sana kichwani. Hebu nitafute nikutoe tongotongo ufunguke akili yakoOntario bilionea kwa migongo ya mazombie nchini
Mkuu nashangaa mnamshambulia ONTARIO kwa kusema hivi labda kwa sababu ni mwamfrica mwenzetu, lakini hili jambo linasemwa mara nyingi sana na Steven Hawking na bado anaendelea kuliamini hata leo ukimuuliza bado atalisema. (bado utaniuliza stephen hawking ni nani). Japokuwa sio kwamba nakubaliana nae ila ukiona mtaalamu kama hawking anasema kitu lazima ukifikirie mara mbili mbili.Ni very intresting hasa kwa electeonics na macanics ila kwenye swala la Computer kizidi akiri ya binadamu hizo ni chai mkuu. Kuna kitu kinaitwa Gabage in Gabage out, computer haitaweza kifanya kaz ambayo haijaelekezwa na mwanadamu, hata maana y neno machine itakua haina maana. Huyo jamaa alilose ile game kwakuwa vilikaa vichwa vingi tuibrogram computer kuhakikisha inashinda, so yule mwanamichezo alikua anaahindana na akiri nyingi za programers lkn co kweli km computer kuzid mwanadamu. Kwa uwelewa wako mdogo kwenye technology kunakufanya uone mambo hayo ni ya ajabu sana lkn maprograma km akina Mark au Gates hata yachukulia km tunavyoyachukulia sisi. 3rd world countries tuna akiri ndogo huwez linganisha na wenzetu, ss ukisema computer imzidi mtu akiri ni mtu yupi unaemsema? Mzungu? Vyote tutumiavyo ni machinery ambazo mwanadam anatengeneza kwa akiri yake ili kumsaidia kufanya kaz
Mkuu nashangaa mnamshambulia ONTARIO kwa kusema hivi labda kwa sababu ni mwamfrica mwenzetu, lakini hili jambo linasemwa mara nyingi sana na Steven Hawking na bado anaendelea kuliamini hata leo ukimuuliza bado atalisema. (bado utaniuliza stephen hawking ni nani). Japokuwa sio kwamba nakubaliana nae ila ukiona mtaalamu kama hawking anasema kitu lazima ukifikirie mara mbili mbili.
Na papuchi tutakua tunakula wirelessly kwa hiyo wadada mjiandae!!!
Mi huko mbele ntakua printer wa papuchi ...
Hii hata mimi kila nikijaribu "kulisukumizia" kwenye ubongo wangu linakataa kabisa,sasa kama nyumba inakuwa printed inamaana hilo printer lenyewe lina ukubwa kiasi gani?......lakini pia kuna lile la kumfyatua binadamu kama tofali maabara,hili nalo japo ni tecknolojia ila nahisi kama "kamba" hivi ila sijui tuendelee kusubiri lakini sidhani.
Na ndoo maana afrika haita kaa iendelee kama ndo ivi tunasema1. Afrika (ukiacha nchi ya Afrika Kusini) bado mno. Kama mtu ananunua gari la 2001 leo hii 2018 halafu akiliingiza nchini analiita jipya ni tatizo.
2. Siasa za Afrika hazitaruhusu hizo teknolojia kwa hofu ya wapiga kura kukosa kazi. Mambo hayo yataishia huko huko Washington.
Apa ukimwambia mzazai nataka kusomea ayo mambo anasema nini hicho hakina ata ajira... Sme ichi au somea kile... Sasa sjui hioo ajira anayoiona yeye sjui annaionea kwa wapiHaya vijana acheni sijui kutafuta credit sijui ukasome HKL mara sijui ualimu, dunia inazidi kutanuka.
Nendeni Veta na vyuo vya Computer Science mkachukue maujuzi ya "IT" maana ndio kozi pekee iliyobaki inayoweza kukusukuma kwa siku za mbeleni ila uwe mjanja mjanja na wa kujiongeza.
Shukrani mkuu.
Kwani nini ambacho kinashindikana... Kama kuna 3D printers za vikombe na magari then swala la nyumba si kutengeneza 3D printer kubwa tu ? Au kutengeneza parts ndogo ndogo then znafanyiwa assemblingUongo mkubwa uliowahi kuongea ww bwana Ontario ni kua "Eti kuna machine ya 3D inayatumika kuprint nyumba, so baada ya miaka kama 20 watu watakua wanafyatua nyumba kwenye mashine"
-Tera La Vista
We endelea na entrepreneurship yako watu tunapoelekea saivi ioo kitu ya kustruggle saana inakuja zngua, ushaskia kuhusu AI sasa ishue ya kutumia akili sana inakuja potea kiutani utaniInatia huruma sana kuona vijana wakigeuzwa misukule na mirija ya kunufaisha wengine..kwanini unawanyima vijana haki yao ya kutumia akili na nguvu zao za ujanani kutafuta mali na badala yake kuwaaminisha kuwa pesa zinapatikana kwa kuweka miguu mezani na bando la internet...hii ni DHAMBI KUBWA SANA!!
Kijana inabidi UTUBU..wenzetu wanahangaika kuzalisha tangible entrepreneurs wenye biashara zinazoekeweka huku vijana wamegeuzwa misukule na uyu dogo bila kujua..
Aisee TUBUNI iyo dhambi mapema..maana kuna misukule itazeeka inatafuta mali kwenye internet kuja kustuka uko 50's uwezi ata sukuma toroli. TUBUNI HII DHAMBI
Umewaza vyema mkuiKwani nini ambacho kinashindikana... Kama kuna 3D printers za vikombe na magari then swala la nyumba si kutengeneza 3D printer kubwa tu ? Au kutengeneza parts ndogo ndogo then znafanyiwa assembling
Afrika itaendelea vipi wakati kina Nkuruzinza wapo madarakani?Na ndoo maana afrika haita kaa iendelee kama ndo ivi tunasema
Tumekipoteza hiki kichwa March 14, 2018Steven Hawking na bado anaendelea kuliamini hata leo ukimuuliza bado atalisema. (bado utaniuliza stephen hawking ni nani).
Wadau,ikifika Wakati Wa Tuition Ya Kudownload Nyumba,mnishtue Nina Maeneo Potential Kariakoo,magomen,kinondoni,tukumbukane Jamani Kizuri Kuwa Na Wenzio
Kama unafikiri hyo ishu ni "utapeli", fikiria tena.Narekebisha Kauli Siyo Kudownload Ni Kuprint,tuition Iwe Jangid Au South Africa Nitahudhuria Tu