Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
Moja ya vitu ninavyoangalia katika kutathmini mvuto wa gari ni dashboard au sehemu ya mbele ya gari pembeni ya usukani.
Mercedez Benz na BMW ni magari yanayoheshimika sana na yamebaki na quality zake ya ubora ikiwemo brand zinazothaminiwa, engine na uimara kwa miaka mingi.
Kwa muonekano wa nje, hakuna gari ninayoikubali kama Mercedez Benz.
Ila pamoja na kuboresha muonekano wa nje uwe wa kisasa zaidi, dashboard zao bado zinakosa mvuto. Hazina nakshi ambazo gari nyingi za kileo wanaweka pale mbele.