Mercedes, BMW,Volskwagen, Opel and Audi yana soko Tanzania?


A

abcde

Member
Joined
Jan 18, 2012
Messages
38
Likes
0
Points
0
A

abcde

Member
Joined Jan 18, 2012
38 0 0
Habari zenu wadau!
Je magari haya yana soko Tanzania (Mercedes, BMW, Volkswagen, Opel na Audi)? Kama hayana, magai yenye soko sana ni yapi? Asanteni
 
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2012
Messages
3,400
Likes
1,147
Points
280
Master plan

Master plan

JF-Expert Member
Joined Dec 24, 2012
3,400 1,147 280
Kuna percent yoyote kwa ushauri? Kingine nikusaidie ungeweka na model ya hayo magari kwani haina maana kwa kutaja tu kampuni husika bila kujua muundo na mwaka uliotoka gari lenyewe upo hapo mpwa wangu?
 
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Messages
2,321
Likes
83
Points
145
Sabayi

Sabayi

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2010
2,321 83 145
Wabongo bado tumekariri Toyota Mkuu
 

Forum statistics

Threads 1,272,590
Members 490,036
Posts 30,454,479