Mercedes Benz ya dhahabu

Atakuja masikini choka mbaya na comment za kujifariji "Atakufa ataliacha"

:D:D:D:D
Hata akiliacha kawaachia watoto urithi, tatizo masikini hatuwazi kuhusu geneartion inayokuja tunawaza tu si tutakufa tutaziacha, hilton hotels sasa hivi wamiliki ni kizazi karibia cha tano ila aliyehustle kashakufa kitambo
 
Mkuu,hivi yule mrembo Paris Hilton yuko wapi siku hizi? naona amepotea kabisa kwenye media.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom