Mercedes benz inahitajika kwa ajili ya harusi tarehe 14/12/2014

E52

Member
Oct 31, 2010
81
14
Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia.

Shukrani
 
Mtafute huyu jamaa mwenye namba hii ndiyo kazi zake na hizo gari anazo 0718734645
 
Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia.

Shukrani

+255714430096 mcheki huyu jamaa.
 
TUNAKODISHA GARI AINA YA AUSTIN fx 4...LONDONI Taxi YA Mwaka 1968 KWA AJILI YA HARUSI NA SEND OFF,
Gari inauwezo wa kubeba watu 6, inaKiyoyozi yaani (FULL AC)
BEI IN TSH 300,000,
TUNATOA COMMISSION YA 10% KWAATAKAYETUTAFUTIA MTEJA,
Kwa Mawasiliano Piga number 0713225618,Mathew

Ahsante
 
Poleni na majukumu wadau, nimepewa jukumu la kutafuta gari kwa ajili ya kubebea maharusi, liwe jeusi. Mwenye nayo anipm na anitumie picha ya gari husika pamoja na bei anayokodishia.

Shukrani

Kama hamjapata designer wa kadi za Mwaliko nicheki mimi 0716 154531
 
Back
Top Bottom