Mercedes Benz C200 Compressor

Mimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
Safi sana
 
Hizi zote ulizoonesha picha ukiingia AUTODOC na TRODO etc unazipata kwa bei nzuri na delivery ya uhakika. Bro nakuambia from experience.

Hakuna janja janja tena.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mkuu kuwa mpole unaposhauri wadau waagize spare nje unakuwa umegusa maslahi ya watu, ila ukweli kuagiza kunapunguza garama tofauti na kununua spare nchini Mana Bei ni kubwa alafu spare nyingi no fake.
 
Hakuna service ya kukufikishia mzigo siku tatu. Hata DHL inazidi siku tatu. Huko unakoagiza wewe Sisi tushaacha tunanunua kutoka kwa manufacturers. Hata hizo bei za hao unawaagiza ni kubwa kwasababu na wao wanaweka mark up.
Mzee hii nimetumia siku 3. Kuanzia 21 septemba hadi 23 mzigo umefika. DHL Express.

Twende sawa. Nadhani nyie mjikite kwenye kukusanya labor charges ila kuagiza??? WaBongo siku hizi Wajanja. Kuwapiga bei kali labda wale wenye mawenge
Screenshot_20210927-124323_Samsung%20Internet.jpg

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mimi nilinunua Mercedes miaka hiyo ya 2010 hata bila kumuuliza mtu na nilitumia mpaka nikabadili toleo lingine nalolitaka tena nimerudi kwenye Ford ila ntarudi huko tena tukijaaliwa hasa kwenye ile Pick up yao ya Mercedes X nimeielewa sana hizo gari ni kuzingatia miaka ya karibuni tuu isiwe imetumika sana...
Asante sana Mkuu.
 
Mzee hii nimetumia siku 3. Kuanzia 21 septemba hadi 23 mzigo umefika. DHL Express.

Twende sawa. Nadhani nyie mjikite kwenye kukusanya labor charges ila kuagiza??? WaBongo siku hizi Wajanja. Kuwapiga bei kali labda wale wenye mawengeView attachment 1955117

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mimi sio fundi, I'm an importer Kila mwezi au miezi miwili naingiza mzigo at least Tzs 20m kutoka Germany,UK etc. Naweka rekodi Sawa tu Kwa watu kama wewe. Few times natumia DHL or Aramex Kwa vitu vidogo vya order. Weka umemunua lini. Umefika lini DHL na umetoka lini tra Hadi wewe uupate.Sio kwamba kila Mzigo ukinunua online eti utafika DHL siku hio hio. Pia supplier wengine hawatumi bongo baadhi ya vitu. Mzigo unaweza kutoka amst Hadi Dar 48 hrs ila mpaka wewe uupate ni zaidi ya muda uliotumia kutoka amst Hadi Dar kwasababu ya clearance.
 
Sawa Importer! Keep importing! Good lucky!

Mkuu, hapa umedadavua fresh lkn tatizo linabaki palepale kwa sisi wabongo wengi..."UJUAJI." mtu anakubishia tu sababu aonekane anajua zaidi yako. Nilipoanzisha huu uzi na kukutag wewe nilikuwa najua nahitaji nini na nimekipata zaidi ya nilichotegemea. Sema ndio hivyo tena, wakati flani Shamba la Mpunga huwa halikosi Magugu,😄😄.
I Appeciate you Mkuu.
 
Kwa kifupi mwambie huyo jamaa yako asikimbilie gari za wazungu kama ana hela za mawazo. Ni bora aka opt Lexus kama anataka luxury na comfortability.
 
Mkuu, hapa umedadavua fresh lkn tatizo linabaki palepale kwa sisi wabongo wengi..."UJUAJI." mtu anakubishia tu sababu aonekane anajua zaidi yako. Nilipoanzisha huu uzi na kukutag wewe nilikuwa najua nahitaji nini na nimekipata zaidi ya nilichotegemea. Sema ndio hivyo tena, wakati flani Shamba la Mpunga huwa halikosi Magugu,.
I Appeciate you Mkuu.
Kwa mentality hiyo we endelea na Passo.

Bado haujafikia mentality ya kumili Benz.

Sisis tunaongea based on hard knock experience we unabwabwaja .......tumeandika yote haya ili kukusaidia mbulula kama wewe usije kupigwa na hao "importers" maana unaonekana huna hata x-mass mbili hapa mjini

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Simaanishi vibaya lakini kila nikiona tittle ya hii thread akili yangu inanituma kuwa mleta mada anatafuta AC compressor ya Mercedes Benz C200.

Sijui kwanini ila akili inagotea kwenye tope zito la AC tuu.
 
Kama Mmiliki naunga mkono hoja. Awakwepe sana wachimba chumvi na watu wa Toyota.

Yani ukishaona mtu anamiliki Toyota hata maswali ya Benz asimuulize kabisa maana wao stori zao hili jini....linabugia mafuta.....spea bei ghali......mafundi hakuna.....zina umeme mwingi....sijui ni gari ya kutoka wikendi kwa wikendi ....

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mimi nishawazoea mwaka 2002 nilifanikiwa kurudi na Honda Ballade ilikua automatic kipindi hicho magari mengi yalikua manual kila nikijaribu kuitangaza kuiuza walikua wanasema hizo gari auto zinasumbua mno mno na gari ya kike hiyo nikaamua kuiacha na kusafiri baadae naambiwa wameiekewa na wanaona auto zinaanza kuagizwa nyingi nilighaili kuiuza wakawa wanatumia familia tuu kwa hiyo Watanzania nina uzoefu nao mno hasa kwa vitu wasivovijua wakijazana ujinga wanakataa kitu bora zaidi na kuchukua kitu cha hovyo hovyo kwa bei kubwa na pia kodi kubwa kwenye magari ni pin code ingine watu kutotumia gari nzuri kama wenzetu..
 
Habari wakuu, Kuna jamaa yangu anahitaji kuagiza Gari hii Mercedes Benz C200 Compressor ya Mwaka 2004. Sasa tumeulizia kwa fundi mmoja anasema jamaa asinunue hiyo gari sababu ni mbovu sana na kwamba Cylinder Head yake ni ya Alluminium hivyo imitokea gari imechemsha mara moja tuu basi ndio mwisho wake.
Sasa najua humu kuna wataalamu wa Magari, naomba msaada wa ushauri au iwapo kama kuna Option nyingine na Mercedes ambayo itafaa kwa Mazingira ya Bongo haswa matembezi ya weekend na trip chache mkoani.

CC: RRONDO , Extrovert

View attachment 1953751

View attachment 1953752

View attachment 1953753

View attachment 1953754
Kwanza pichani hiyo siyo Kompressor ya 2004.

Pili huyo fundi aje na option nyingine ya mwaka 2004 ambayo cylinder head yake siyo Aluminium (kama ipo).
 
Mkuu wewe ungeshauri nini kwa Benz?
Mimi ushauri wa bure

1. Kama hela ipo ya kutosha go for it.

2. Gari hazitaki ubabaishaji kwenye spea. Weka spea genuine.

3. Acha habari za mafuta ya Kidebe. Utalia,

4. Story za kuendesha gari mpaka inazima ndio uite fundi zitakugharimu.

5. Uzuri vitu vingi vikuleta shida, mpaka taa ikiungua inakushow kwenye dashboard, jitahidi kuzingatia.

6. Mambo ya kuskipp service achana nayo, With genuine Oils hutofanya service frequent kama gari za Japan.
 
Back
Top Bottom