Mental Toughness #2

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
MENTAL TOUGHNESS SECRETS OF THE WORLD CLASS by Steve Siebold

THE WORLD CLASS COMPARTMENTALIZES EMOTIONS
WALIOFANIKIWA WANAZIGAWA KWENYE MAKUNDI HISIA ZAO.

"Nothing external to you has any power over you " -
"Kitu chochote kilicho nje yako hakina nguvu juu yako" - Ralph Waldo Emerson, 1803-1882, minister, speaker,writer.

Viongozi maarufu wanaweza kukutana na changamoto mbalimbali na bado wakaweza kuzikabili hisia zao huku wakitatua changamoto hizo moja baada ya nyingine. Watu wa kawaida changamoto zikiwa nyingi zinawachanganya na kuwachosha na wanakuwa hawajui pa kuanzia kutatua.

Waliofanikiwa wao wanazitenganisha changamoto hizo na wanatenganisha hisia, mtu na changamoto. Wanatafuta majibu ya changamoto na wakishapata wanahamia kwenye changamoto nyingine nayo wanaitafutia majibu bila kuhusisha watu na hisia. Hii wanaiita ni mbinu ya Kirais, kwani ilionekana Rais wa Marekani anakutana na changamoto nyingi zinazomhitaji afanye maamuzi magumu kuzitatua. Anagawanya kila changamoto kwenye chumba chake na kuitenganisha na changamoto nyingine. Na hii ndio sifa ya viongozi mashuhuri.

Wakati watu wa kawaida wakipata changamoto wanasumbuliwa na hisia zao na wanakosa maamuzi mazuri, waliofanikiwa wao wamewekeza kwenye kupata mantiki ya changamoto kwanza na kuzitatua na kutokuruhusu hisia kutawala.

Hatua za kuchukua hapa:
Zipange changamoto unazokutana nazo, bila kutawaliwa na hisia anza kuzitatua moja baada ya nyingine.
 
AMINIA MKUU
Sisi binadamu tuliowengi tunajitambulisha kutoka na hali tuliyonayo kwa wakat fulani, mfano ukiumwa unajiona mgonjwa ukikosa unachokipenda unajiona mwenye balaa nk, kumbe sisi ni zaidi ya hisia hizi tulizonazo, nikimaanisha hasira,wivu ,kinyongo nk. Hizo ni hali tu za kisaikolojia ambazo hazina lolote kuhusu maisha yako. kama ukiona unatawaliwa na hali fulani manaake umeamua kuichagua hyo hali.
 
Asante
 
Ukweli usiopingika
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom