Men's talk: Kwenye kupanga first date, mualike mdada ghetto kwako, kama hataki muache

Hii ni HELA, Mkuu!
Hatuwezi igawa gawa tu kana kwamba tunagawa Ujugu au Big G kijiweni.

Tukishaishiwa nyie ndiyo mnakuwa wa kwanza kutunanga kwenye vijiwe vyenu vya ususi kwamba yule ex wangu kachakaa hana jipya.

Kwa hiyo wanaume HELA wanaitoa ila kwa mahesabu makali sana.
Dinazarde
 
Niwape kisa kimoja;
Last weekend nika match na mdada moja mrembo kwenye ulevmtandao wetu pendwa wa kimataifa. Kuchat kidogo tu akatoa namba tukapanga tukutane wapi basi mimi bila kusita nikaenda.

Nimefika pale nikaanza kuagiza badi yeye akajifanya kama vile ile sehemu ni mara yake ya kwanza kufika hivyo akawa ana kufanya kushangaa bei ya vinywaji.

Baada ya mfa nikamshawishi tukapige kitu moto jirani na kwangu tulipofika niksmpa offer ya kwenda kumtengenezra dawa ya mafua nyumbani; jibu alilolitoa lili nishangaza.

Aliniuliza unajipa shilingi ngapi?
Kusema kweli sikuwa na nia ya kumla siku hiyo lakini kwa sababu amenionesha kuwa anauza ukaona isiwe tabu ngoja nikapige tu ilinhata hiyo pesa niliyotumia kwenye vinywaji niifidie kidogo; nikamwambie ataje anataka shilingi ngapi.

Hapa na pale akasema 100k na pia inatakiwa ikifika saa sita awe amerudi kwake.

Kuangalia saa ni saa nne usiku mpka tule tumalize itakuwa saa 5 nikajiuliza kweli nitoe laki kwa lisaa kimoja tu. Nikaona haiwezekani. Nikamwambie nimpe 50k Ili nikafidie na ile tuliyo kunywa. Akachomoa.

Mpaka hapo tusha kunywa 70k nikaamya nimpotezee. Badi akaomba nimuitie usafiri nikaita nikamlipia Nauli ya akasepa.

Nifupishe stori. Kesho yake akaanza kunitumia , meseji anashangaa eti kwanini sikumbembeleza; nilimpa jibu alibaki anashangaa. Sasa hivi anahamgaika tu kwenye simu.

Yani sasa hivi asilimia kubwa ya wanawake wanauza K

Nanihii kama Uko humu najua huwezi kosa jua ulichemka.

Ulikosea mjuba ulianza kucheza mpira kabla ya kipyenga kupulizwa, umekula hasara hata chuchu hukugusa
 
Hamna mwanamke wakuja geto kwako haraka hivyo labda Kama ni dada poa nae pia anaweza ogopa vile vile kupigwa matukio

Kama utapata mwanamke day one akaanza kukupiga mzinga jaribu kukaa nae zungumza nae mipango yake malengo yako kwake mahali ulipo kimaisha na kazi unayofanya itapendeza zaidi ukimdanganya

Muulize mahitaji yake yote madogo madogo aliyokwama mpambanie yaliyo ndani ya uwezo wako hii itakusaidia kupunguza mizinga ya mara kwa mara sababu atakuwa amesha kuamini na atakupenda sana atakuwa huru kukupa Hawa dada zetu kuna muda huwa wanakutana na ukata inafik mahali ata nguo za ndani anashindwa kununua
 
Jamaa unaandika vibaya sijapata ona
Niwape kisa kimoja;
Last weekend nika match na mdada moja mrembo kwenye ulevmtandao wetu pendwa wa kimataifa. Kuchat kidogo tu akatoa namba tukapanga tukutane wapi basi mimi bila kusita nikaenda.

Nimefika pale nikaanza kuagiza badi yeye akajifanya kama vile ile sehemu ni mara yake ya kwanza kufika hivyo akawa ana kufanya kushangaa bei ya vinywaji.

Baada ya mfa nikamshawishi tukapige kitu moto jirani na kwangu tulipofika niksmpa offer ya kwenda kumtengenezra dawa ya mafua nyumbani; jibu alilolitoa lili nishangaza.

Aliniuliza unajipa shilingi ngapi?
Kusema kweli sikuwa na nia ya kumla siku hiyo lakini kwa sababu amenionesha kuwa anauza ukaona isiwe tabu ngoja nikapige tu ilinhata hiyo pesa niliyotumia kwenye vinywaji niifidie kidogo; nikamwambie ataje anataka shilingi ngapi.

Hapa na pale akasema 100k na pia inatakiwa ikifika saa sita awe amerudi kwake.

Kuangalia saa ni saa nne usiku mpka tule tumalize itakuwa saa 5 nikajiuliza kweli nitoe laki kwa lisaa kimoja tu. Nikaona haiwezekani. Nikamwambie nimpe 50k Ili nikafidie na ile tuliyo kunywa. Akachomoa.

Mpaka hapo tusha kunywa 70k nikaamya nimpotezee. Badi akaomba nimuitie usafiri nikaita nikamlipia Nauli ya akasepa.

Nifupishe stori. Kesho yake akaanza kunitumia , meseji anashangaa eti kwanini sikumbembeleza; nilimpa jibu alibaki anashangaa. Sasa hivi anahamgaika tu kwenye simu.

Yani sasa hivi asilimia kubwa ya wanawake wanauza K

Nanihii kama Uko humu najua huwezi kosa jua ulich
 
Kwa kiasi Fulani nimemuelewa mtoa mada. Ila hii Mara nyingi inamaana zaidi kwa vijana ambao ndo wanaanza kutafuta na sio kwa wenye maisha tayari.

Mfano upande wangu nmejiwekea utaratibu msichana nikianza kumfukuzia basi nahakikisha ndani ya wiki kuanzia siku niliyoanza kumfukuzia niwe nimeshamla. Hivyo nsjikuta sijatumia gharama kubwa katika mchakato wa kumpata.

Ila wanawake hawafanani kuna class ambayo ili uipate lazima utengeneze mazingira ya kumvutia. Hapo utahitaji akili nyingi na ujanja ujanja ili ufanikishe bila kutumia fedha nyingi.

Ila wenye fedha za kutosha hua hawapendi kuchosha akili yao wao wanamwaga mpunga mpaka msichana anajiongeza mwenyewe kila mtu na aina yake ya mtongozo.
 
Nahunga mkono hoja
JamiiForums-368542019.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom