Meno kutokuwa meupe

Baba Kapompo

JF-Expert Member
Sep 11, 2013
1,344
462
wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete
 
Paka KIWI
 
Mkuu kwa uelewa wangu ; Tumia ganda la ndizi kwa ndani usugulie meno yako yatang'aa !!

BANANA=(SMILE) DEPRESSION
Cheer yourself up and put a smile on your face by eating a banana. The popular fruit contains a protein called tryptophan. Once it has been digested, tryptophan then gets converted in a chemical neurotransmitter called serotonin. This is one of the most important mood-regulating chemicals in the brain and most anti-depressant drugs work by adjusting levels of serotonin production. Higher levels are associated with better moods.

wale wataalam wa meno me nnashida moja tuu pindi nilvyokuwa na umri wa miaka 10 kwenda chini nilikuwa nasugua meno kwa whitedent nayalikua yang'aa meupeeeee mhh ila sasa hv meno yangu najitahid kusugua zaid ya mara3 kwa siku lakin hayai km nnavyota natumia whitedent miaka yote naomba mniambie meno yangu sio mabaya ila ukiyaangalia kwa karibu sana unaweza ukagundua kwamba yamefubaa kidogoooooo.......nini nfafanye ili yameremete

Waone dentists wana-solution kwa tatizo kama lako la - teeth whitening
 
THANKX life z sht ..nitafanyia kaz hiyo ..mungu anamakusudio makubwa kuwaleta watu km nyie duniani... thankx alot live long life ...ILI UWE LIFE IS LONG bro
 
THANKX life z sht ..nitafanyia kaz hiyo ..mungu anamakusudio makubwa kuwaleta watu km nyie duniani... thankx alot live long life ...ILI UWE LIFE IS LONG bro
Mkuu Madaga' FYI, nikuongezee mazuri machache:-

FRUITS AND HUMAN BODY

CARROTS = EYES

WALNUT = BRAIN
THE gnarled folds of a walnut mimic the appearance of a human brain - and provide a clue to the benefits. Walnuts are the only nuts which contain significant amounts of omega-3 fatty acids. They may also help head off dementia. An American study found that walnut extract broke down the protein-based plaques associated with Alzheimers disease. Researchers at Tufts University in Boston found walnuts reversed some signs of brain ageing in rats. Dr James Joseph, who headed the study, said walnuts also appear to enhance signalling within the brain and encourage new messaging links between brain cells.

TOMATO = HEART

A TOMATO is red and usually has four chambers, just like our heart. Tomatoes are also a great source of lycopene, a plant chemical that reduces the risk of heart disease and several cancers. The Womens Health Study
�� an American research programme which tracks the health of 40,000 women �� found women with the highest blood levels of lycopene had 30 per cent less heart disease than women who had very little lycopene. Lab experiments have also shown that lycopene helps counter the effect of unhealthy LDL cholesterol. One Canadian study, published in the journal Experimental Biology and Medicine, said there was ��convincing vidence that lycopene prevented coronary heart disease.

GRAPE= LUNGS

CHEESE= BONES
A nice
��holey cheese, like Emmenthal, is not just good for your bones, it even resembles their internal structure. And like most cheeses, it is a rich source of calcium, a vital ingredient for strong bones and reducing the risk of osteoporosis later in life. Together with another mineral called phosphate, it provides the main strength in bones but also helps to ��power muscles. Getting enough calcium in the diet during childhood is crucial for strong bones. A study at Columbia University in New York showed teens who increased calcium intake from 800mg a day to 1200mg equal to an extra two slices of cheddar - boosted their bone density by six per cent.

GINGER =STOMACH
Root ginger, commonly sold in supermarkets, often looks just like the stomach. So its interesting that one of its biggest benefits is aiding digestion. The Chinese have been using it for over 2,000 years to calm the stomach and cure nausea, while it is also a popular remedy for motion sickness. But the benefits could go much further.
Tests on mice at the University of Minnesota found injecting the chemical that gives ginger its flavour slowed down the growth rate of bowel tumours

BANANA=(SMILE) DEPRESSION
Cheer yourself up and put a smile on your face by eating a banana. The popular fruit contains a protein called tryptophan. Once it has been digested, tryptophan then gets converted in a chemical neurotransmitter called serotonin. This is one of the most important mood-regulating chemicals in the brain and most anti-depressant drugs work by adjusting levels of serotonin production. Higher levels are associated with better moods.

MUSHROOM=EAR
Slice a mushroom in half and it resembles the shape of the human ear. And guess what? Adding it to your cooking could actually improve your hearing. Thats because mushrooms are one of the few foods in our diet that contain vitamin D. This particular vitamin is important for healthy bones, even the tiny ones in the ear that transmit sound to the brain.

BROCCOLI =CANCER
Close-up, the tiny green tips on a broccoli head look like hundreds of cancer cells. Now scientists know this disease-busting veg can play a crucial role in preventing the disease. Last year, a team of researchers at the US National Cancer Institute found just a weekly serving of broccoli was enough to reduce the risk of prostate cancer by 45 per cent. In Britain, prostate cancer kills one man every hour.

Health Benefits of Tomatoes Tomatoes contain anti-inflammatory protection from the antioxidants Vitamin A &C it contains in high amount ..makes us safe from a range of disorders including cancer, arthritis, heart disease, Alzheimer's disease, and diabetes.
watch to know benefits
 
THANKX life z sht ..nitafanyia kaz hiyo ..mungu anamakusudio makubwa kuwaleta watu km nyie duniani... thankx alot live long life ...ILI UWE LIFE IS LONG bro

Mkuu Madagadamdashi!!! Wewe ni mzee wa masanga au Sigara ???kwa wengine vinaondoa mng'aro wa meno..ulipokuwa mdogo yalikuwa meupeee
 
Mkuu Madagadamdashi!!! Wewe ni mzee wa masanga au Sigara ???kwa wengine vinaondoa mng'aro wa meno..ulipokuwa mdogo yalikuwa meupeee
masanga ndio nini ? toka nizaliwe sijawah vuta sigara ...nielewshe masanga plz alfu xio mzee mimi sio 18 YRS below wala SIO 25yrs above
 
Salam kk mm nitakupa dawa imenisaidia sana. Chukua strawberry na soda bicarbonate changanya upigie mswaki utaona mabadiliko makubwa.
 
Mkuu ngoja nikupe dawa, uliona changes ni PM. Saga mkaa,uwe chenda ndogondogo sana, unaweza kuuponda, tafuta mswaki wa mti. Weka mkaa huo kwenye mswaki sugua vizuri na sukutua. Rudia hilo zoezi mara nyingi inavyowezekana
. Meno yako yatakuwa fresh. Jaribu hilo zoezi, ukifanikiwa ni Pm.
 
Thank You Mkuu :- My Take; uchukuwe tahadhari Mikaa mingine huwaga TOXIC hatari kwa mwili wa binAdamu !! kutokana na miti au mizizi kadhaa !! take care
Apishe mbali.
 
Back
Top Bottom