Meno kufa ganzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meno kufa ganzi

Discussion in 'JF Doctor' started by Chief Lugina, Oct 27, 2012.

 1. C

  Chief Lugina JF-Expert Member

  #1
  Oct 27, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Heshima wakuu,
  Mimi ninatatizo la jino moja tu la mbele kupata ganzi ninapokunywa maji ya baridi au ninapo vuta upepo. Please naomba mwenye ushauri hapa jamvini anisaidie.
   
 2. Fadhili Paulo

  Fadhili Paulo Verified User

  #2
  Aug 25, 2013
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 3,243
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  Vipi umeshapona jino? kama bado ni PM nitakupa namba ya dr mmoja alishawahi kumsaidia mbwa wetu mmoja naye alikuwa ana matatizo ya meno kufa ganzi kama wewe.
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Aug 25, 2013
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 28,103
  Likes Received: 3,870
  Trophy Points: 280
  Kuna dawa ipo mahali inasaidia ni elfu tano tu kama uko bongo ntafute.
   
 4. t

  tibihika Member

  #4
  Aug 25, 2013
  Joined: Mar 18, 2013
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tumia sensodyne toothpaste apply 2 to 4 times daily.baada ya wiki utapata jibu. EPUKA kunywa vinywaji baridi.
   
Loading...