Meninah afunga ndoa tena

Yani Diamond akishampitia demu, nakua sina imani naye tena... Sijui Haule alijiamini nini....
 
Imekuwaje mtoto wa prof. Muhongo atumie ubini wa haule?.

Au mleta mada umekosea maandishi?!.
Kwasababu anamkubali sana msanii ambaye pia ni mbunge Joseph HAULE a.k.a Prof Jay..
akaona sio mbaya akitumia jina lake kabisa..
 
Mwanaume akiwa mweupe Ni Nuksi kwa mwanamke, kwanini mwanaume uwe cheupe? Ili? Mxiuuuuuuu
Huyu inaonekana amempenda na wanaonekana wanaendana lkn peter hakuwahi kupostiwa hata siku moja kwenye insta ya menina itakuwa menina aliolewa for money kwa sababu ni mtoto wa kigogo lkn sio mapenzi ya dhati na hawa wenye Asili ya kishombeshombe wanachaguana wao kwa wao huoni na huyo bwanaharusi ni mwenzao na hii ndoa itadumu kwa sababu hao wanaelewana wana mila zao, Hata ukiangalia ndugu zake menina wana Asili ya uhindi flani
 
Haule alikuwa personal secretary wa mzee Muhongo... Kipindi kile mheshimiwa wazuri yupo wizara ya Nishati Na Madini..
Hawana undugu wowote Na mh. Waziri Muhongo.

As for binti... Mmmh...
 
Mi bado nina mashaka na huyu bwana harusi kwasababu ninamfahamu tumetokea eneo moja sina hakika kama menina ameamua kwa dhati kuolewa ili atulie na nafsi yake!! Ila wahenga wa sasa wanasema "Huu mchezo hauhitaji hasira" sasa kama menina alitaka hivyo kaumia!!!
 
Mi bado nina mashaka na huyu bwana harusi kwasababu ninamfahamu tumetokea eneo moja sina hakika kama menina ameamua kwa dhati kuolewa ili atulie na nafsi yake!! Ila wahenga wa sasa wanasema "Huu mchezo hauhitaji hasira" sasa kama menina alitaka hivyo kaumia!!!
Hapa JF si sehemu ya kubaniabania habari, hebu mwaga umbea tuongeze siku za kuishi......
 
Bin muhongo hakuwa na poz tupo yupo tu anabebwa na hela. Wa sasa ni wa kutokelezea.... na akija mwengine ndo vile vile...
 
Back
Top Bottom