upendodaima
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 4,072
- 4,482
ndo nani huyo Menina?
Yaweza kuwa ni Baba mlezi...."Haule" ni ubini maarufu wa kiukoo huko kwetu ruvuma.
prof.muhongo ni mwenyeji wa musoma.huyo babu ni wa mzaa mama yake au mzaa baba yake?
Basi sawa.Yaweza kuwa ni Baba mlezi....
JamaniKuna tetesi Prof nae alitumia cheti cha mtu secondary
ni tetesi tu hata hivyo
Kwasababu anamkubali sana msanii ambaye pia ni mbunge Joseph HAULE a.k.a Prof Jay..Imekuwaje mtoto wa prof. Muhongo atumie ubini wa haule?.
Au mleta mada umekosea maandishi?!.
Huyu inaonekana amempenda na wanaonekana wanaendana lkn peter hakuwahi kupostiwa hata siku moja kwenye insta ya menina itakuwa menina aliolewa for money kwa sababu ni mtoto wa kigogo lkn sio mapenzi ya dhati na hawa wenye Asili ya kishombeshombe wanachaguana wao kwa wao huoni na huyo bwanaharusi ni mwenzao na hii ndoa itadumu kwa sababu hao wanaelewana wana mila zao, Hata ukiangalia ndugu zake menina wana Asili ya uhindi flaniMwanaume akiwa mweupe Ni Nuksi kwa mwanamke, kwanini mwanaume uwe cheupe? Ili? Mxiuuuuuuu
Hapa JF si sehemu ya kubaniabania habari, hebu mwaga umbea tuongeze siku za kuishi......Mi bado nina mashaka na huyu bwana harusi kwasababu ninamfahamu tumetokea eneo moja sina hakika kama menina ameamua kwa dhati kuolewa ili atulie na nafsi yake!! Ila wahenga wa sasa wanasema "Huu mchezo hauhitaji hasira" sasa kama menina alitaka hivyo kaumia!!!
Tatizo ni our corrupted minds zinawazaga vitu viovu tupuJina lake utadhani ni tusi....