Menina aolewa na kigogo kwa siri

Mbona mama menina kavaa msalaba wkt menina msilamu, na huyo bwana kibaragashee kimemkaa utadhani kazoea
 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.

Inasemekana Menina aligoma katakata kubadili dini hivyo kumlazimu mtoto wa waziri kubadili dini na kufunga ndoa ya Kiislamu na sasa wako honey moon ndani ya nchi.

Nawatakia ndoa njema na maisha mema...

=============

View attachment 279110

Halafu the guy sio mtoto wa kuzaa wa muhongo...
Wa kuasili tu...
 
Kwa mtoto menina nilikuwa nampenda sana....sio dini tu hata kabila ningebadili....keruuuuuu....
 
mbona kaolewa na shombe flan hivi au sio huyo????
 
Back
Top Bottom