Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 37,198
- 78,101
Siri gani tena ikiwa wewe umefahamu?
...nashangaa eti siri wakati raia tunajua na magazeti yaliandika na picha zikawekwa
Siri gani tena ikiwa wewe umefahamu?
Amna ata picha
Mbona mama menina kavaa msalaba wkt menina msilamu, na huyo bwana kibaragashee kimemkaa utadhani kazoea
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.
Inasemekana Menina aligoma katakata kubadili dini hivyo kumlazimu mtoto wa waziri kubadili dini na kufunga ndoa ya Kiislamu na sasa wako honey moon ndani ya nchi.
Nawatakia ndoa njema na maisha mema...
=============
View attachment 279110
Halafu the guy sio mtoto wa kuzaa wa muhongo...
Wa kuasili tu...
mwanamke unakataa kubadili dini kumfata mmeo!!! uzuri unawaoumbaza wanawake na huyo mwanaume hajielewi, kuaibisha wanaume wenzie
OMG! Muhongo ana watoto?
Kwa mtoto menina nilikuwa nampenda sana....sio dini tu hata kabila ningebadili....keruuuuuu....
Sio km hana watoto...
Si inawezekana ht baba yako akaamua kusaidia ndg...
Nimekupa like kisha nikaitoa kwasababu ya wewe ni mshambaSiri gani tena ikiwa wewe umefahamu?
Huyu menina alivunja ndoa yake kisa kutembea na baba mkwe sasa ivi kaolewa tena na mwanaume mwingine
kwani yeye ndo hawezi kula mzigo?Baba mkwe wake si Prof Sospeter Muhongo ?
Mmh mbona wanasema mwanaume akitaka kurudi kwenye ukristu ndiyo maana wameachana.Huyu menina alivunja ndoa yake kisa kutembea na baba mkwe sasa ivi kaolewa tena na mwanaume mwingine