Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,054
- 6,281
ninazo picha ya harusi nikiamka nitaweka
Najipitia zangu wandugu, nshachoka na life mie
ninazo picha ya harusi nikiamka nitaweka
mwanamke unakataa kubadili dini kumfata mmeo!!! uzuri unawaoumbaza wanawake na huyo mwanaume hajielewi, kuaibisha wanaume wenzie
kafunga kwa siri haja publish popote picha wala tangazo kama wafanyavyo mastaa wa kibongo shobo
Picha mbona zipo mitandaoni labda wewe tu hujaziona...
kafunga kwa siri haja publish popote picha wala tangazo kama wafanyavyo mastaa wa kibongo shobo
Menina zake !Who the hell is Menina?
Picha mbona zipo mitandaoni labda wewe tu hujaziona...
Uwiiiiiii! Hizi pesa jamani! Haya bwana, nawatakia kila la kheri kwenye ndoa yao.
Hahah...
Sikutaka kwanza kuwaza hilo unalotaka niwaze ndio maana nikauliza kwanza...
Hata Remmy Ongala alikuwa na mke bi mkubwa...
Aaah Watu8 wewe mtu mzima bwana, jiongeze hapo kidogo.
Lol, waume shida mwenzangu weee. Na yeye kaolewa
Usijeitaka harusi kwa pupa....
Usimkimbilie mume ukaukondesha moyo.....
Kassim Mganga keshatutahadharisha....kazi kwetu sasa.
For this,Somebody gonna find herself alone!!