Menina aolewa na kigogo kwa siri

Jul 25, 2014
83
36
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka toleo la BSS Menina aolewa kwa siri,nyumbani kwao Kigamboni na mtoto wa aliekuwa waziri wa Nishati na Madini Sospeter Muhongo.

Inasemekana Menina aligoma katakata kubadili dini hivyo kumlazimu mtoto wa waziri kubadili dini na kufunga ndoa ya Kiislamu na sasa wako honey moon ndani ya nchi.

Nawatakia ndoa njema na maisha mema...

=============

MENINAH-CAPT.jpg
 
kwa lemutuz ipo picha moja tu ambayo yupo menina na mumewe na wazee wao......
 
Back
Top Bottom