Susuviri
JF-Expert Member
- Oct 6, 2007
- 3,713
- 888
Jamani, mambo ya biashara tuyaache kwenye biashara na ya siasa tuyaachie huko. Sidhani kama ni vizuri kuchanganya mambo haya mawili.
Tatizo hapa ni kuingiza ya siasa kwenye biashara and vice versa.
Kwa nini biashara ya Mengi iwe tofauti lakini biashara anayofanya Rosrtam au Manji isiwe tofauti? Mengi mwenyewe kapenda awe public figure, kajiweka katika vyombo vyake vya habari pursuing his interest, it is his right but he has to live with the consequences. Kama ambavyo Rostam na Manji waliamua kujiingiza katika siasa hivyo wameji-expose na lazima wawe tayari kuwa scrutinized. Everything is fair!