Mengi named among continent's greatest! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mengi named among continent's greatest!

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Ngongo, Feb 12, 2009.

 1. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #1
  Feb 12, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  IPP Executive Chairman Reginald Mengi has been named among Africa`s greatest entrepreneurs.

  His name features prominently on the list of top entrepreneurs in the continent in the book authored by the Nigerian born Moky Makura.

  The event was held at the Corporate Cafn Sandton where an eclectic mix of over 200 of Johannesburg based businessperson gathered to mark the launch of a remarkable new title called `Africa`s Greatest Entrepreneurs`.

  A statement issued by organisers of the event said Makura`s book profiles some of the most successful and dynamic entrepreneurs currently operating on the continent.

  ``Five of the entrepreneurs featured in the book turned out to mark what many have described as one of the most inspiring events of the year,`` it said.

  The statement mentioned the entrepreneurs who featured in the title as Reginald Mengi, the CEO and Founder of IPP Group from Tanzania Gordon Wavamunno, the founder of the Uganda based Spear Group Herman Mashaba, the South African founder of Black Like Me Kagiso Mmusi, the Motswana CEO of the diversified Group, Pula Holdings and Nigel Chanakira CEO of the Zimbabwean based, Kingdom Meikles Group.

  The statement further said the evening kicked off with a welcome by the Penguin Books Group Publishers, Louise Grantham who spoke of the firm`s commitment to publishing more books written by African scholars.

  Welcomed to the podium, Makura spoke passionately about why she had written `Africa`s Greatest Entrepreneurs'.

  ``As Africans we often hesitate to tell our own positives stories, yet if we do not remember and record our past, if we don`t highlight our achievements, showcase our heroes and take responsibility for the future image of Africa, nobody else will. I believe it is our responsibility,`` she said.

  Makura said `Africa`s Greatest Entrepreneurs` was her attempt at showcasing some African heroes in the business world.

  ``In the book you will meet 16 of the continent`s most inspiring entrepreneurs-self-starters and patriotic Africans who share the distinction of having made it in Africa and five of them are with us this evening,`` she said.

  She added: ``These are people who have created not just personal wealth for themselves, but sustainable businesses that can be benchmarked alongside the best in the world.``

  Delivering acceptance speeches, Kogiso Mmusi talked of the challenges ahead in Botswana brought about by the impact of the global credit crunched and the hard work that had characterised his journey as an entrepreneur.

  For his part, Herman Mashaba spoke about the start of his journey into business and the hair products sector that gave him his break.

  Nigel Chanakira was applauded by the audience when he said that ``Africa is too rich to be poor.``

  He noted that some of the commonalities between all the entrepreneur`s features, were risk taking, innovation and opportunistic behaviour.

  Gordon Wavamunno, on the other hand, spoke about his personal business successes and called his wife and business partner, Morine to the podium, to share the moment.

  Reginald Mengi, who was the last speaker moved the audience with the tale of his very humble beginning in business and chartered his journey using R Kelly`s `I believe I can fly` and Beyonce`s `I`m a survivor` much to the delight of the audience, to highlight his success story.

  After the speeches, Mengi, Wavamunno, Chanakira, Mmusi and Mashaba took time to sign copies of the book and met with the audience who were keen to congratulate their new heroes.

  The evening was a magical event where a strong sense of African pride was fostered.

  Gray Leicher, an entrepreneur in the IT sector who attended the event reflected what many of the guests echoed.

  ``I found the evening very inspirational. It was an amazing event. I really felt very motivated, honoured and spoilt after hearing their stories,`` said Leicher.


  SOURCE: GUARDIAN
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Feb 12, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tunataka ma entrepreneur wa kweli kama huyu mzee wetu Mengi, sio ma entrepreneur wa ''KUFISADI'' Ujasiliamali wa wenzao kama kina mzee VIJISENTI etc

  Good man Mengi.....!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Feb 12, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  tanzania wapo wengi na labda wana fedha kuliko mengi mbona wao wako kimya au ni exposure (rostam aziz, Saul, amin bakresa, manji)
   
 4. Kaduguda

  Kaduguda JF-Expert Member

  #4
  Feb 12, 2009
  Joined: Aug 1, 2008
  Messages: 670
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 80
  bila kumsahau marehemu nyaulawa
   
 5. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #5
  Feb 12, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Hongera mzee Mengi .............main source please.
   
 6. K

  Kichakoro JF-Expert Member

  #6
  Feb 12, 2009
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 1,554
  Likes Received: 1,313
  Trophy Points: 280

  mkuu na wewe ni watetezi wao????

  Unafikiri kama hela zako ni za kifisadi utathubutu kuongea hadharani wewe ni tajiri????

  Lakini Issue kubwa hapa sio kuwa na hela nyingi bali jinsi gani umejiendeleza na kuisadia jamii kuondoka na umasikini, kusaidia huduma za jamii na more important kufanya biasharaka iwe endelevu. Sio leo upo kesho haupo na wala biashara zako hazihusiani na ufisadi.

  manji, Bhakhresa na wengine wanajua kuichangia sisiem tu waambie wachangie watoto wakatibiwe, ama wachangie ujenzi wa shule zahati, ama makanisa au msikiti wao hawamo .'

  Waambie kuichangie sisiem ... hata 1,000m watatoa instantly
   
 7. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #7
  Feb 12, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  lakini Rostam kachangia kanisa la KKKT kinondoni na kampa fedha Mch Mtikila
   
 8. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #8
  Feb 12, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Hapa huyu mwandishi alikuwa anazungumzia ma -entrepreneurs clean or at least clean na siyo wale wanojifanya entrepreneurs kumbe wanatumia makampuni kufanya ufisadi wa kughushi na kupata fedha. This is the excellent part of our mzee Mengi. Mimi nafikiri ame excel kwenye business na ndiyo anatakiwa asimamie na si vinginevyo. His strengths lies on business and not.....(wengi mtanielewa what I mean). Hongera mjasiriamali wetu, tunakufagilia. Umewapa watanzania wengi ajira na kipato, umechangia katika uchumi wa taifa hili in so many ways. Keep it up. Hii habari itabidi ifunike ile......(mtanielewa vizuri hapa). Mods watu wameshakata kiu na ile nyingine, iondoeni ili hii isafishe kidogo. Tehe tehe.

  Ukweli wake mpeni, kuwa ni jasiriamali jasiri!!!! I like him.
   
 9. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #9
  Feb 12, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Huo ndio ukweli. Hongera Mzee Mengi, lakini bado kazi ipo, isiwe kuwa the end justifies the means. Wengi hawawezi kujitokeza kwa sababu utajiri wao una walakini, na biashara zao zina walakini vilevile.
   
 10. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #10
  Feb 12, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Napata shida kuamini au kuaminishwa kwamba Mengi ni msafi kiasi hicho. Hata hivyo nampenda sana kwa sababu angalau ana chembe ya huruma na watu tulio wengi tumepata kuonja kidogo utajiri wake. Iwe ni ama wale wagonjwa wanaotibiwa kwa pesa zake, walemavu wanaopata lunch bure mara moja kwa mwaka, vijana waliopewa ajira au wengine ambao tumeendelea kutesa na matangazo ya bure ya ITV toka mwanzoni mwa miaka ya 90 wakati huo hata serikali haikuwa na TV!! Mafisadi wa TZ ni wapumbavu sans (siyo wajinga). Mimi nilidhani wangeweza kuiga wenzao wa Kenya. Kwa Kenya, pesa inaibiwa na kuwekezwa nchini, ili vijana wapate kazi na serikali ipate kodi. Hapa TZ pesa inalundijkwa benki UK, Uswisi na kwingineko na haitusaidii kitu. Badala yae, wanapunguza dola kwenye mzunguko na kuathiri uchumi wetu kwa kiwango cha kutisha. Kama hizo dola 1m za Mzee vijisenti zingekuwa kwenye uchumi wetu na zile za wenzake zingeweza kufanya mambo ya maana sana. Hiyo ingekuwa ni heri nusu shari... Lakini wafanyabiashara wengi ni mafisadi au mawakala wa mafisadi na kwa hiyo wamekaa mkao wa kuingia mitini. Inawezekana pesa zao haziwekwi hapa bongo. kitu ambacho kinasababisha hasara kubwa kwa nchi. Kwa hilo Mengi ni mfano wa kuigwa!
   
 11. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #11
  Feb 12, 2009
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hongera sana Mzee R. Mengi.
  Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na kukuzidishia umaarufu.
   
 12. t

  tk JF-Expert Member

  #12
  Feb 12, 2009
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 270
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hongera Mr. Mengi. Huu ni mfano mzuri wa Watanzania Wazalendo. inasikitisha sana kuona kuwa, kinyume na wenzetu wa Kenya, Uganda, Burundi na Rwanda, hapa Tanzania matajiri ni aidha Wahindi, Wazungu, Waarabu au Ma Halfcast. Wazalendo tumeishia katika kumiliki mabaa ya nyama choma na viduka. Hii ni aibu sana. Nchi yetu wenyewe lakini hatuna kitu.

  Cha kushtua na kushangaza zaidi wote wenye madaraka na wanaowapa utajiri hao Wahindi etc, ni Wazawa wenyewe. Hakuna Rais Muhindi au Waziri Mkuu Muhindi au Mawaziri Wahindi au ma PS Wahindi wote hao ni wazalendo wenzetu. Lakini kukitokea opportunity ukienda wewe na Muhindi, Muhindi atapewa kipaumbele.

  Mambo haya ya kukandamiza wazawa, yanapatikana hapa Tanzania tu ingawa wanaowaweka madarakani ni hao hao Wazawa wanaokandamizwa. ukiuliza unaambiwa Wazawa hawana ubunifu na ujasiri. What a shame. Ni nani atawapa huo ujasiri na ubunifu kama si ninyi waliowachagua?

  Viongozi wetu waache roho ya korosho na waje na sera za makusudi za kuwazalisha akina Mengi wengi zaidi.
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Feb 13, 2009
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,633
  Trophy Points: 280
  Penguinbook.co.za - Buy book Resources and Information.

  Africa's Greatest Entrepreneurs
  Moky Makura


  EAN: 9780143024309
  Format: Trade Paperback
  Release Date: 1 November 2008
  Recommended Retail Price: R220

  Buy Now: retailers @Velocity C N A Exclusive Books Kalahari Loot Red Pepper Books


  Who are the real power brokers in Africa? Who are the dynamic entrepreneurs making things happen on the continent? How did they do it and what are their personal stories?

  Africa’s Greatest Entrepreneurs is a unique collection of stories about 16 of the most successful entrepreneurs and business visionaries currently operating in Africa. Each chapter is dedicated to a single entrepreneur and focuses on a sometimes tumultuous, often challenging, but mostly exciting, journey to success.

  This fascinating and well-researched book examines the life of each entrepreneur and maps out the path each elected to follow in tackling and overcoming the obstacles that stood in the way of the realisation of their dreams.

  Meet, among others, Kagiso Mmusi, the Motswana transport millionaire; Richard Maponya, the South African retail giant behind Soweto’s Maponya Mall; Kwabena Adjei, the rags-to-riches Ghanaian millionaire; Wale Tinubu, the Nigerian head of the Oando oil and gas giant; Ndaba Ntsele, the South African king of high finance; and Mo Ibrahim, the Sudanese-born telecoms millionaire.

  Each story is inspiring and informative in its own unique way. Makura sheds light on the different historical, political and economic power structures that helped create – and in some cases frustrate – these business heroes. This book shines the spotlight on and provides an unprecedented insight into a new breed of African hero – some of whose stories have never been told until now.

  Moky Makura (née Akinsemoyin) was born in Nigeria, educated in England and now lives in Johannesburg, South Africa. A TV presenter, producer, writer, actress and successful businesswoman in her own right, Makura holds an Honours degree in politics, economics and law from Buckingham University in the UK. After a career in public relations in both the UK and South Africa, Moky started her own consultancy in 1999, which she subsequently sold to one of the largest advertising communication groups in South Africa. Since then she has worked as the African anchor for South Africa’s award-winning news and actuality show, Carte Blanche, and recently produced a television series called Living It on the lifestyles of Africa’s wealthy elite. Makura is passionate about unearthing the positive stories and heroes of the African continent.

  ‘I truly hope that this book inspires many more people to use their entrepreneurial energy to change the world through creating opportunities for others.’

  - Richard Branson
   
 14. Gelange Vidunda

  Gelange Vidunda JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2009
  Joined: Aug 18, 2008
  Messages: 312
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Actually, when us black Tanzanians aka "Wazawa" got embroiled in ujamaa and self reliance and other things of a socialist nature, the "wazalendo" wahindis continued with business as usual. When "Ruksa" came into being they were the ones that came up on top - and their allies came to be the strong politicians who may have had no money but they had the clout to influence a lot of shit (and get rich at the same time), the kind of shit that is now popularly known as "Ufisadi" among all other names.
   
 15. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #15
  Feb 16, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I believe he is not among Africa's greatest entrepreneurs, but among the most co-operative with the Big Brother in Africa!

   
 16. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #16
  Feb 16, 2009
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135

  Mkuu Dark umesema vyema.

  Hapo ndo huwa namfagilia Mengi, kwani hata kama alizipata kinamna walau anazirudisha kwa jamii tunaziona zikisaidia wahitaji!.

  Wengine kazi yao ni kuwahonga mafisadi kila kukicha ili wazidi kuwapa myanya ya kuzidi tukamua! kila kukicha utasikia mil. 400 mara za mikutano mara za kampeini yaani upuuzi mtupu!
   
Loading...