Reginald Mengi Lawyers respond (video), goes to Court; sues Rostam Aziz

Ati mahakama imeshirikiana na Mengi kupoteza ushahidi; kwa maneno mengine RA ametoa madai mazito dhidi ya mahakama!
 
Ati mahakama imeshirikiana na Mengi kupoteza ushahidi; kwa maneno mengine RA ametoa madai mazito dhidi ya mahakama!
Hii nzito mzee wa kijijini. Jamaa RA amekamatika sasa anabwabwaja tu. mwenzie mengi kwenye kujibu hajamshambulia alichofanya ni kumwonyesha RA ni mwongo na hoja zake alizozitoa. Kweli RA sasa amevuliwa nguo amebaki yeye na simple Pendulum tu sasa. Na kubenea amenifurahisha kwa kuumpa ukweli palepale kuhusu kagoda. Jamaa kwisha habari yake amefikia kwenye plastic limit I mean point of no return.
 
kesho....

Watu wameshindwa kuona kwa haraka kuwa Rostam kwa kuzungumza kwake amethibitisha ufisadi wake.

Hivi mmejiuliza aliposimama kuhoji bilioni 28 za kusaidia "maskini wa Tanzania".. hamkujiuliza yeye kama Mbunge lini alisimama Bungeni (jukwaa lake halali) kuhoji matumizi ya serikali, wizi wa fedha za umma, au upotevu wa mabilioni kwa kutumia Kagoda?. Yaani leo, watu wanakubali kuwa RA anatetea maskini wa Tanzania wakati hata mara moja akiwa Bungeni au nje ya hapo hajawahi kuhoji upotevu wa mabilioni ya fedha za Watanzania.. ?

Hivi kweli watu wanaamini bilioni 28 (mkopo plus riba) ndiyo vinamuuma sana kwamba vingeweza kujenga madarasa 100!!!

Kha! aidha tumepigwa ganzi au tumelishwa limbwata la ufisadi!
 
INVISSIBLE HESHIMA YAKO MKUU AND THANKS FOR GOOD WORK.
Wana Jamii nimsoma Nyaraka za Mzee Mengi/Ngalo na maelezo yake yote,nitaweka hapa annalysis ya malipo alofanya ukizipitia document zake utaona kuwa MENGI hajalipa madeni ya ya import support za ACHIMWENDU, zingine hajalipa na ktk statement yake alosoma Ngalo amethibitisha kauli ya RA kuwa mengi hupoteza ushahidi ninanukuu( NBC IMESHINDWA KESI KWA KUKOSEKANA USHAHIDI WA KUTOSHA WA MADENI YA ACHIMWENDU) hiyo ni sehemu ya statement ya Ngalo.

Total amount ya Achimwendu ktk Import support ni zaidi ya Billioni 97,alicholipa ni 173m only,na amekiri kuwa kesi wameshinda kwa kuwa ushahidi haukuonekana na hapa wana proove kauli ya RA kuwa MENGI bingwa wa kupoteza ushahidi.

Ukisoma document ya Ngalo mengi anakana kufilisika lakini DALILI moja wapo ya kampuni kufilisika ni pale ambapo mishahara ya wafanyakazi huanza kulipwa baada ya siku 30 za kazi,Mfano nikiwa naandika muda huu wafanya kazi wa NIPASHE,GUARDIAN(IPP) hawajalipwa mishaharaya mwezi ulopita,nimefanya uchunguzi wangu mishahara huanza kulipwa kuanzia tarehe 5 mpaka 10 ya following month means baada ya siku 35 mpaka 40.Ngalo amesema si kweli wamefilisika lakini hii ni indication moja wapo.

Ukiangalia document alotumia Ngalo kuonyesha kuwa wamekuwa cleared na IMPORT SUPPORT hainyeshi kuwa walo kuwa cleared ni achimwendu bali ni ITV na BODYCARE hoja RA ni kuwa mengi amekopa IMPORT SUPPORT through ACHIMWENDU na ameingia mtini kilichothibitisha ni kauli ya NGalo kuwa wameshinda kesi bcs ushahidi likosekana ingawa serekali imekata rufaaa,but also ukiangalia document za malipo walicholipa its only 173m.

Ngalo ameleta ushahidi wa Mengi kujitoa NICO as Member,lakini ukisoma barua yake yenye page mbili utaona para ya mwisho mengi anakiri kuwa uwekezaji haukuwa na Tatizo (may i cliriefy my action is not in any way suggesting that the investement was wrong value wise)kwa kauli hii mengi amekubali kuwa umekezaji wa NICO ktk INTERCHEM hauna tatizo means amekiri kuwa kuwekeza ktkt kampuni ilokuwa inakufa sh 2.5bn za kitanzania haikuwwa dhambi na anataka watu waelewe kuwa si kosa kuingiza hela za watu huko na kutuonyesha barua kua ameamu kujiuzulu kwa hilo.

Wana Jamii RA aejibu kuwa hahusiki na kwa mantiki anaetuhumu ndie anaetakiwa kuthibitisha tuhuma zake RA amekanusha mengi athibitishe tuhuma zake dhidi ya RA,pili RA amemtuhumu mengi an ametowa uthibitisho wake na kuahidi kuupeleka kwenye viombo vya sheria.

Nimejaribu kuangalia utetezi wa Ngalo umenionyesha kuwa ngalo ametekelza wajibu wake na ana kila sababu ya kukimbia maswali,

Invissible tuwekee document za mengi alizotumia kuthibtisha kuwa amelipa ili tuweze kufanya uchambuzi

UDUMU MZEE

KWA KUULIZA MASWALI HAYA YOU WONT GET ANY FRIENDS HERE

nadhani unajua kuwa msimamo wa hawa wanaoingia humu (wengi wao apparently ni wasomi na wako nje ya nchi) kuwa mengi ni mwizi lakinisio kama hao waliotajwa

these are the new political class ambao wanataka CHADEMA ichukue nchi
 
kesho....

Watu wameshindwa kuona kwa haraka kuwa Rostam kwa kuzungumza kwake amethibitisha ufisadi wake.

Hivi mmejiuliza aliposimama kuhoji bilioni 28 za kusaidia "maskini wa Tanzania".. hamkujiuliza yeye kama Mbunge lini alisimama Bungeni (jukwaa lake halali) kuhoji matumizi ya serikali, wizi wa fedha za umma, au upotevu wa mabilioni kwa kutumia Kagoda?. Yaani leo, watu wanakubali kuwa RA anatetea maskini wa Tanzania wakati hata mara moja akiwa Bungeni au nje ya hapo hajawahi kuhoji upotevu wa mabilioni ya fedha za Watanzania.. ?

Hivi kweli watu wanaamini bilioni 28 (mkopo plus riba) ndiyo vinamuuma sana kwamba vingeweza kujenga madarasa 100!!!

Kha! aidha tumepigwa ganzi au tumelishwa limbwata la ufisadi!

Sidhani kama kuna mtu anafikiri kuwa RA anatetea ufisadi,ila watu walio na uhuru wa kuona haya mambo na kuyahoji inatuletea picha hii.

Moja RA kwa miono huru anaonekana kukubali kabisa yeye ni fisadi lakini na hata anayemtuhumu naye ni fisadi pia ,hapo tatizo ndipo linaanza kujitokeza .

Mfano Mengi kasema RA ana account nje na RA naye kasema na wewe pia una nayo nje pia,kumbe ukiangalia kwa makini unaona wote wanakosoro inabidi wachunguzwe.

Huyu RA ni FISADI lakini na MENGI naye inabidi achunguzwe pia maana aliposema ameshinda kesi ya NBC nimepatwa na mashaka makuu kwa maana MAHAKAMA ya TZ ni fedha nasio sheria hii kwa namna moja ama nyingine napata picha kuwa MENGI aliishinda kesi hiyo kwa sababu ya pesa.
Mfano iweje chombo ya sheria itende haki kwa tajiri MENGI yani ifuate course zote na kumpa ushindi MENGI ,harafu chombo hiyo hiyo inapokuja kwa mafisadi akina Mramba,RA nk... tuone chombo hicho hakitendi haki??

kwa namna hiyohiyo mimi na wewe wenda tuna asilimia 90% kwamba mahakama yetu mbele ya pesa ni feki tumeona mafisadi wanadunda ,tumeona matajiri wakifunga watu masikini kwa sababu wao ni matajiri na wanapesa,tumeona akina RA,Lowasa ,Ditto wameshindwa hata kuhojiwa kwa sababu wana fedha.

Sasa basi iweje kwa MENGI mtu mwenye fedha kuwe na dhana kwamba alishinda kesi ya NBC kiuhalali ??Mimi nafikiri tunafanya vitu eiza kwa ushabiki ama kwa malengo yetu mathubuti tukiweka ngao ya manufaa ya umma na taifa.Maana na amini kama tungekuwa na madhumuni thabiti ya kupigania umma na tunatakiwa kuwa alika hawa watu wakaribishe uchunguzi huru ili huo uchunguzi ndio utwambie nini na wapi kuna ukweli ,badala ya kupiga matarumbeta hapa kusimama kuwatetea watu fulani.

Hakuna mtu mjinga atakeye kuja mbele ya umma na documents zinazomfunga ,kila mmoja atajitahidi kuchambuwa zinazomlinda na zinazomfunga kujifanya kama vile kazisahau ,ukitaka kuona hilo angalia wote wawili wamejibu tuhuma ambazo ziko upande wao na zisizowafunga na kuacha zinazowafunga kama vile wamezisahau.

Hawa watu ni wote wakuchunguzwa wala sio kusema mimi nilitangulia hivyo alikuwa wapi kuyasema hayo.

Hivi wewe na mimi tukiwa majambazi ila kila tunapofanya ujambazi mie nachukuwa mkanda wa picha jinsi tunavyoiba ,sasa siku wasiku ikawadia nikakudhulumu pesa basi nawewe ukasema nitamwonyesha huyu siku nilipoenda kuiba peke yangu wewe ukaja na polisi mkanikamata harafu wewe ukashuhudia ujambazi wangu,basi ktk utetezi wangu nikasema ni kweli lakini na huyu ndiye mtengeneza dili naye ni jambazi nikaonyesha mkanda wote wa picha,Hivi hiki chombo cha sheria kitakuachia kwa vile wewe ulianza kunisemea??? ama kitaanza kukuchunguza pia?? Ama polisi watekutetea wewe eti ni raia mwema ndiyo umewawezesha na umeripoti tukio hivyo huna kosa??
 
....
Huyu RA ni FISADI lakini na MENGI naye inabidi achunguzwe pia maana aliposema ameshinda kesi ya NBC nimepatwa na mashaka makuu kwa maana MAHAKAMA ya TZ ni fedha nasio sheria hii kwa namna moja ama nyingine napata picha kuwa MENGI aliishinda kesi hiyo kwa sababu ya pesa.

Hicho ndicho alichosema RA kuwa mahakama hazifuati sheria. Sasa kama anajua hilo kwanini anakwenda huko huko kupeleka ushahidi wake unless...

Mfano iweje chombo ya sheria itende haki kwa tajiri MENGI yani ifuate course zote na kumpa ushindi MENGI ,harafu chombo hiyo hiyo inapokuja kwa mafisadi akina Mramba,RA nk... tuone chombo hicho hakitendi haki??

Sijaona hukumu ya kina Mramba bado.. na mimi ni miiongoni mwa watu wanaoamini Mahakama za Juu kuliko hizi za chini. Ukija kwenye uhuru wa mahakama, Mahakama Kuu na ya Rufaa haziingiliwi na wanasiasa, hii tangu enzi za Mwalimu.. matatizo yako kwenye hizi mahakama za chini. Mahakama za juu hazijawahi kuona haya kutoa hukumu dhidi ya mtu au issue yoyote hata kama ni politacally sensitive au incorrect. Siamini kuwa mahakama zetu ni mambo ya fedha.

kwa namna hiyohiyo mimi na wewe wenda tuna asilimia 90% kwamba mahakama yetu mbele ya pesa ni feki tumeona mafisadi wanadunda ,tumeona matajiri wakifunga watu masikini kwa sababu wao ni matajiri na wanapesa,tumeona akina RA,Lowasa ,Ditto wameshindwa hata kuhojiwa kwa sababu wana fedha.

That is oversimplification. Utaona kuwa mara nyingi hawaachi kesi zifike Mahakama za Juu.. go figure why..

Sasa basi iweje kwa MENGI mtu mwenye fedha kuwe na dhana kwamba alishinda kesi ya NBC kiuhalali

Yaani, Mengi aishinde serikali Mahakamani kiurahisi hivyo? Unachofanya na ninaamini kuwa ndicho RA amefanya pia ni kuwa Mahakama ilinunuliwa na Mengi. Hizi ni tuhuma nzito ambazo aidha tupate hukumu ya kesi yenyewe au vinginevyo kwa sababu. Mtu akinituhumu mimi ni mwizi, the burden of proof haiko kwangu kuthibitisha kuwa ni mwizi bali kwa yeye kuthibitisha mimi ni mwizi. Akishindwa kufanya hivyo ((beyond a reasonable doubt) nitaachiwa hata kama nimeiba.. that is called justice!

Ndiyo maana kwenye mahakama kuna tofauti kati ya mtu kutokuwa guilty na mtu kuwa innocent. Mtu anaweza kuwa guilty but innocent or innocent and found guilty!
??Mimi nafikiri tunafanya vitu eiza kwa ushabiki ama kwa malengo yetu mathubuti tukiweka ngao ya manufaa ya umma na taifa.Maana na amini kama tungekuwa na madhumuni thabiti ya kupigania umma na tunatakiwa kuwa alika hawa watu wakaribishe uchunguzi huru ili huo uchunguzi ndio utwambie nini na wapi kuna ukweli ,badala ya kupiga matarumbeta hapa kusimama kuwatetea watu fulani.

uchunguzi huru ambao hauwezii kununuliwa na fedha? Ni kama chombo gani unafikiri kinaweza kufanya uchunguzi huru?

Hakuna mtu mjinga atakeye kuja mbele ya umma na documents zinazomfunga ,kila mmoja atajitahidi kuchambuwa zinazomlinda na zinazomfunga kujifanya kama vile kazisahau ,ukitaka kuona hilo angalia wote wawili wamejibu tuhuma ambazo ziko upande wao na zisizowafunga na kuacha zinazowafunga kama vile wamezisahau.

Ndiyo maana ya kujitetea.. ndio maana kwa Wamarekani wana 5yh Ammendement.. ndio maana kuna kitu kinaitwa Miranda Right.. siwezi kusema kitu kitakachonichongea nikafungwa. Hakuna mtu anayefanya hivyo. NI jukumu la yule anayeshtaki kuonesha ushahidi wa tuhuma zake.

Hawa watu ni wote wakuchunguzwa wala sio kusema mimi nilitangulia hivyo alikuwa wapi kuyasema hayo.

true.. nani atawachunguza?

Hivi wewe na mimi tukiwa majambazi ila kila tunapofanya ujambazi mie nachukuwa mkanda wa picha jinsi tunavyoiba ,sasa siku wasiku ikawadia nikakudhulumu pesa basi nawewe ukasema nitamwonyesha huyu siku nilipoenda kuiba peke yangu wewe ukaja na polisi mkanikamata harafu wewe ukashuhudia ujambazi wangu,basi ktk utetezi wangu nikasema ni kweli lakini na huyu ndiye mtengeneza dili naye ni jambazi nikaonyesha mkanda wote wa picha,Hivi hiki chombo cha sheria kitakuachia kwa vile wewe ulianza kunisemea??? ama kitaanza kukuchunguza pia?? Ama polisi watekutetea wewe eti ni raia mwema ndiyo umewawezesha na umeripoti tukio hivyo huna kosa??

Inategemea mambo mengi kweli hapo.
 
Hicho ndicho alichosema RA kuwa mahakama hazifuati sheria. Sasa kama anajua hilo kwanini anakwenda huko huko kupeleka ushahidi wake unless...

Sijaona hukumu ya kina Mramba bado.. na mimi ni miiongoni mwa watu wanaoamini Mahakama za Juu kuliko hizi za chini. Ukija kwenye uhuru wa mahakama, Mahakama Kuu na ya Rufaa haziingiliwi na wanasiasa, hii tangu enzi za Mwalimu.. matatizo yako kwenye hizi mahakama za chini. Mahakama za juu hazijawahi kuona haya kutoa hukumu dhidi ya mtu au issue yoyote hata kama ni politacally sensitive au incorrect. Siamini kuwa mahakama zetu ni mambo ya fedha.

That is oversimplification. Utaona kuwa mara nyingi hawaachi kesi zifike Mahakama za Juu.. go figure why..

Yaani, Mengi aishinde serikali Mahakamani kiurahisi hivyo? Unachofanya na ninaamini kuwa ndicho RA amefanya pia ni kuwa Mahakama ilinunuliwa na Mengi. Hizi ni tuhuma nzito ambazo aidha tupate hukumu ya kesi yenyewe au vinginevyo kwa sababu. Mtu akinituhumu mimi ni mwizi, the burden of proof haiko kwangu kuthibitisha kuwa ni mwizi bali kwa yeye kuthibitisha mimi ni mwizi. Akishindwa kufanya hivyo ((beyond a reasonable doubt) nitaachiwa hata kama nimeiba.. that is called justice!

Ndiyo maana kwenye mahakama kuna tofauti kati ya mtu kutokuwa guilty na mtu kuwa innocent. Mtu anaweza kuwa guilty but innocent or innocent and found guilty!

uchunguzi huru ambao hauwezii kununuliwa na fedha? Ni kama chombo gani unafikiri kinaweza kufanya uchunguzi huru?

Ndiyo maana ya kujitetea.. ndio maana kwa Wamarekani wana 5yh Ammendement.. ndio maana kuna kitu kinaitwa Miranda Right.. siwezi kusema kitu kitakachonichongea nikafungwa. Hakuna mtu anayefanya hivyo. NI jukumu la yule anayeshtaki kuonesha ushahidi wa tuhuma zake.

true.. nani atawachunguza?

Inategemea mambo mengi kweli hapo.

Naona tuwe tunajibu swali moja moja.
Maremu DITTO wakati anapitishwa kwenye mlango wa majaji ilikuwa mahakama gani kweli?
 
Naona tuwe tunajibu swali moja moja.
Maremu DITTO wakati anapitishwa kwenye mlango wa majaji ilikuwa mahakama gani kweli?

alipitishwa mlango wa majaji baada ya kumlipa nani? Unakumbuka kauli zilizotolewa wakati ule na Mahakama kuhusu kitendo hicho. Ulikuwa ni uamuzi wa polisi au mahakama kumpitisha mlango huo?
 
alipitishwa mlango wa majaji baada ya kumlipa nani? Unakumbuka kauli zilizotolewa wakati ule na Mahakama kuhusu kitendo hicho. Ulikuwa ni uamuzi wa polisi au mahakama kumpitisha mlango huo?

Lakini ilikuwa mahakama gani? wewe huoni ilikuwa ni geresha tu hizo kelele?
ok tu assume ilikuwa polisi sasa ilikuwa mtu aliyetoa silaha kufanyiwa mizengwe kesi hadi mashitaka yakabadirishwa na nayo ilikuwa polisi? Mtu kachomoa kitu kapiga risasi sasa nayo ilikuwa polisi
 
that is my point.. kuna tatizo Polisi na mahakama za chini.. siyo kwenye Mahakama Kuu au ya Rufaa. Mahakama zetu za juu ni mojawapo ya huru zaidi katika Afrika! Believe me.. ndiyo maana kesi zao za EPA wamezipeleka huko chini.. zitakapofika huko juu we ngoja tu uone.

Mahakama zajuu hazichezewi na wanasiasa.. hawawezi....
 
kaka ra ameamua kusaidia serekali na kufata kauli mbiu ya ulinzi shirikishi,hivi sasa ninapo post yupo njiani anaelekea pccb kupeleka ushahidi wake dhidi ya mengi,ikiwa kama kweli mengi najuwa anachfanya why asipeleke nae ushahidi wake?

Naona uko naye sambamba, anguko lenu laja hata hivyo, ninyi ndio mnaoweza kufanya chochote kulinda mafisadi.
 
that is my point.. kuna tatizo Polisi na mahakama za chini.. siyo kwenye Mahakama Kuu au ya Rufaa. Mahakama zetu za juu ni mojawapo ya huru zaidi katika Afrika! Believe me.. ndiyo maana kesi zao za EPA wamezipeleka huko chini.. zitakapofika huko juu we ngoja tu uone.

Mahakama zajuu hazichezewi na wanasiasa.. hawawezi....

I wish this were true but, unfortunately, it is NOT!!
 
Jamani, mimi naomba kuuliza.

Hivi ni kwanini waTanzania tunanyanyaswa kiasi hiki na wasanii kama akina RA? Kwanini? Huyu mtu na washirika wake ni waovu kuliko mnyonya damu.
 
Kupata an "independent" summary assesment ya corruption Tanzania gonga hapa

businessanticorruption*|*Judicial System

Judicial System

Individual Corruption

Corruption exists at all levels of the judicial system, although corruption is especially prevalent in the lower courts. Court clerks demand bribes in order to open new files, deliver files to where they are required and to hide files of accused persons. Personal secretaries and typists accept bribes in order to produce copies of judgments for various crimes. Magistrates are offered bribes in order to reduce sentences, reduce penalties, withdraw charges, obtain bail and order court injunctions. Corruption is also reported to cause delays and to lead to fraudulent or inaccurate records.

Business Corruption

State Attorneys are known to accept bribes when prosecuting court cases, in order to authorise the signing of contracts and to give advice favourable to those giving the bribe. Independent attorneys are known to bribe magistrates and judges in order to obtain favourable verdicts for their clients.

Arbitration is commonly used to avoid the corrupt and inefficient courts, but some disputes involving US companies have shown that external arbitration awards can be difficult to enforce in Tanzania. Nevertheless, domestic arbitration is often ineffective, and disputes end in the International Center for the Settlement of Investment (ICSID). Furthermore, enforcement of intellectual property rights is also ineffective, and the courts do not have experience in IPR issues.

Political Corruption

Since the mid-1990s, the judiciary has slowly begun to exercise increased independence. However, the legal system remains slow and judicial corruption is still a problem.

The High Court and Court of Appeal are perceived to work more professionally and being less corrupt than the lower courts. The lower courts, on the other hand, are perceived to be prone to corruption and nepotism. The High Court banned the traditional practice of takrima in April 2006, where politicians give voters food, drink and gifts during election campaigns.

Frequency

The World Bank & IFC: Doing Business 2009:
- Enforcing commercial contracts requires a small or medium-sized company to go through 38 procedures, taking an average of 462 days at an average cost of 14% of the claim.

The Bertelsmann Foundation: Transformation Index 2008:
- Only 5% of corruption cases reported to the Prevention of Corruption Bureau from 2000 to 2005 were heard by a court of law.

Afrobarometer: Combating Corruption in Tanzania: Perception and Experience 2006:
- 36% of citizens responding to a survey believe that 'some' judges and magistrates are corrupt, 25% state that 'most or all' of them are corrupt and 12% state that 'none' of them are corrupt.

World Bank & IFC: Enterprise Surveys 2006:
- 47% of companies believe that the court system is fair, impartial and uncorrupted.
 
Corruption exists at all levels of the judicial system, although corruption is especially prevalent in the lower courts. Court clerks demand bribes in order to open new files, deliver files to where they are required and to hide files of accused persons. Personal secretaries and typists accept bribes in order to produce copies of judgments for various crimes. Magistrates are offered bribes in order to reduce sentences, reduce penalties, withdraw charges, obtain bail and order court injunctions. Corruption is also reported to cause delays and to lead to fraudulent or inaccurate records.

Hicho ndicho nasema..
 
Adv.Agaptus Nguma amenikuna kwa MBWEMBWE zake wakati akisoma maswali ... inafaa ampe coaching mwenzake M.Ngallo ambaye ame-sound kama vile ndo kwa mara ya kwanza amekaa mbele ya kadamnasi HONGERA Adv.Nguma...
 
Back
Top Bottom