Encore Effect
Member
- May 5, 2009
- 6
- 0
Mheshimiwa, helewa kakopa na karudisha,kama anadaiwa asingeshinda kesi Mahakama kuu..jamani tuelewe hizi ishu vizuri, Mengi amekua cleared na Mahakama Kuu ya Tanzania
unajua ukitazama response ya bwana mengi pamoja na wale wanasheria kuwa nervous, amejibu tuhuma zote very clear akiwa na ushahidi...sasa rostam alichofanya badala ya kujibu hoja alianza kumshtumu mengi, not very clever...kitu ambacho amejiharibia nazani, yeye kila kitu anapinga tu bila ushahidi...hata yule mwanasheria aliyemtumia kwenye kagoda kamkana hata kumjua na kumsikia...shame Rostam....
Angalia video namba 3 kwenye 1st post wakati Mhe. Rostam anaulizwa maswali...Kuna audio au video ya press conference ya Rostam?
Angalia video namba 3 wakati Mhe. Rostam anaulizwa maswali...
Mengi ameamua kuwatumia wanasheria kuliko kubishana na fisadi papa kama RA, ngoja tusubiri hoja zake kwenye vyombo vya sheria kama atathubutu kwenda huko kwani tanga Dr.Slaa amtaje hakuwahi kwenda Mahakamani sijui kama jeuri hiyo anayo sasa.wajua nilishtuka nilidhani Mengi amerespond tena yeye mwenyewe!!!....
kumbe ni wale wanasheria wake waliokuwa extremely nervous jana as if hawana experience!... although mmoja alijifanya jabbari!!!
It is a thin line between nervous and poised.Wanasheria wote wa Mengi walikuwa wanaongea kwa kituo, huku waki "take their time", nothing wrong with that, especially if matters are this grave.
Watu washazoes theatrics and other extra-curricular activities ambazo ni fake tu, jamaa wamejionyesha kuwa serious and to the point, with the occasional and perhaps unavoidable mistake katika lugha, but that can be argued to be trivial.
Wanaojua body language wanaweza kusema Rostam alitoa hints kwamba anadanganya kwa kuwa fidgety na kujishika pua, if you believe in the psychobabble of body language, that is.
Kuna audio au video ya press conference ya Rostam?
I think Rostam was more nervous..
mengi ameamua kuwatumia wanasheria kuliko kubishana na fisadi papa kama ra, ngoja tusubiri hoja zake kwenye vyombo vya sheria kama atathubutu kwenda huko kwani tanga dr.slaa amtaje hakuwahi kwenda mahakamani sijui kama jeuri hiyo anayo sasa.
Maneno mengine bana!kaka ra ameamua kusaidia serekali na kufata kauli mbiu ya ulinzi shirikishi
.....are you serious? PCCB anapelekea ushahidi gani?hivi sasa ninapo post yupo njiani anaelekea pccb kupeleka ushahidi wake dhidi ya mengi
kaka ra ameamua kusaidia serekali na kufata kauli mbiu ya ulinzi shirikishi,hivi sasa ninapo post yupo njiani anaelekea pccb kupeleka ushahidi wake dhidi ya mengi,ikiwa kama kweli mengi najuwa anachfanya why asipeleke nae ushahidi wake?
Hawa mawakili mbona wanaogopa ogopa sana ,wasiwasi mwingi mpaka inatia shaka hawa ukiwa na kesi ya kiukweli kweli wanaweza jenga hoja kweli? inaonekana kama vile walipokuwa vyuo walikuwa hawana hata presentation mbele ya wanafunzi wenzao.
Mheshimiwa these are unusual times for any wakili..hawajazoea ku present evidence to the court of public opinion especially against a king maker (a person who siku moja kabla ajatoa ushaidi bogus against mengi alikuwa ikulu na wazee wa nchi) ..Unusual times indeed...i hope its the beginning though..wasinyweee.