Mengi anatumia vyombo vyake vya habari kama fimbo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mengi anatumia vyombo vyake vya habari kama fimbo?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Dec 21, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Dec 21, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Nimelazimika kujiuliza swali hili kwamba vyombo vya habari vya Mengi ni fimbo inayotumika kuwachapa watanzania?

  Leo Itv ilikuwa na kipindi kilichorushwa kujadili mustakabali wa taifa na kilikuwa kimewaalika Ole Sendeka,Bietrice Shelikindo, mjumbe kutoka REDET na mjombe toka tanesko kama wazungumzaji na Stiving Chuwa ndie mwongoza kipindi. Kweli nilianzia katikati mwa kipindi na nilichogundua ni kwamba mjadala uliandaliwa na chuwa kwa lengo la kumkampenia Mh Kikwete.

  Nasema hivyo kwa sababu alisitisha mjadala wa wajumbe waliokuwepo studioni na kuweka watu waliorekodiwa toka sehemu mbalimbali za nchi na wote walikuwa na wimbo ule ule wa kumsifu Kikwete kwa mafanikio makubwa. Baada ya hapo akampa Sendeka kuendelea ambapo tayari keshamtia wasi wasi kwa yale aliyotarajia kusema. Vyombo hivi vya mengi ndivyo vilivyoungana na wakosoaji wa kikwete kuidhoofisha serikali wakati alipoingia kwenye mgongano wa kimaslahi na mafisadi.

  Na sasa anahisi sirikali kulalia zaidi kwenye genge lake na hivyo ameungana na serikali kuwasukumia mbali wale wote wanaoikosoa serikali hata kwa nia njema ya kuleta maendeleo. Hili analifanya kwa nguvu kubwa hasa baada ya kongamano la MJN kukosoa utenda wa Kikwete. JF HILI MNALIONA JE?
   
 2. b

  bnhai JF-Expert Member

  #2
  Dec 21, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo kama kuna ukweli haupaswi kusemwa? Inawezekanaje tukubaliane na wale tu wanauzunguza kutokana na mitazamo yetu. Huo ndio uhuru wa demokrasia. Kuna siku hoja inakufurahisha na kuna siku ni huzuni
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Dec 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mimi mengi simuamini hata kidogo..
  nahisi ana ajenda ambazo hazifahamiki vizuri....
   
 4. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #4
  Dec 21, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,532
  Trophy Points: 280
  .
  Ni wasiwasi wako tuu, hana ajenda zaidi ya kuisaidia CCM, alikuwa mwanachama wa tawi la Kusutu,sasa kahamishia kambi Moshi.

  Mzee ni mwema sana, anatumia vyombo vyake kuhamasisha jamii ichukie ufisadi, ndie mfadhili wa wale makamanda. Baada ya Nyerere Foundation kumsulubu, Mzee ameandaa mfululizo wa vipindi maalum kumsafisha, mbona hiki ni kitu kizuri tuu, tatizo liko wapi?.
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Dec 21, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280


  kama watu kama sakina datoo wamemkimbia..
  mimi sioni intergrity ya mengi kabisa....
   
 6. K

  Komavu Senior Member

  #6
  Dec 21, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 114
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35

  Hata mi nimeangalia hicho kipindi ila baada ya wale waliorekodiwa kuongea
  nikabadili channel.

  Upuuzi kabisa in amaana katika watu waliowarecord wote wanamfagilia kikwete?? sitaki kuamini hasa ukizingatia mwelekeo wa taifa kwa sasa.

  habari ambazo zipo upande mmoja ni za kipuuzi, hata mimi nakubali kuwa yapo mazuri aliyojitahidi ingawa ni kiduchu sana. kipindi kizima eti kikwete
  kafanya mema ooh kikwete kathubutu upuuzi mtupu.

  Eti kuwapeleka wezi mahakamani ndo kathubutu, hehehe Nchi hii bwana.....
   
 7. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #7
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Tunachojaribu kuangalia hapa sii Kikwete kusifiwa wala kukosolewa. Tunaangalia ukinyonga wa Mengi na vyombo vyake vya habari. Anapohisi maslahi ya biashara zake kuingiliwa yupo tayari kuvituma vyombo vyake vya habari katika vita ya propanganda bila kujali kwamba vinawezasababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe. Atamshambulia rais na serikali yake ama raia na watetezi wao kilingana na ni yupi ameingia au kuhatarisha ulaji wake. Huyu mengi ndie aliyekuwa akionyesha picha za mauaji ya Rwanda na burundi na kuwahofisha wananchi kwamba wakisubutu kuleta mageuzi hapa nchini yatawapata hayo.
   
 8. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Naungana na wewe. You have said it all.
   
 9. b

  bnhai JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2009
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 2,208
  Likes Received: 1,373
  Trophy Points: 280
  Binafsi sijawahi kumuamini Mengi kbs yoote ayafanyayo naona ni kazi bure. Yeye huwa rafiki wa mwenye madaraka, na mamlaka yakiisha nawe anakumaliza. Na ni adui wa yoyote anayemzidi biashara. Km yakitokea machafuko huwa naamini Mengi lazima atakuwa na pa kuhusika. I dont think if he is good.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2009
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,566
  Likes Received: 18,532
  Trophy Points: 280
  Goodness or badness ya mtu haiji by thinking he is good or bad, it can only come by his motive behind and his deeds. Mengi anafanya mazuri, ni mtenda wema, those are good deeds, why don't you think he is good?.
   
 11. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,333
  Likes Received: 22,182
  Trophy Points: 280

  viva rostam aziz....
  Viva mafisadi
   
 12. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  He is not good because Reginald Mengi ni mnafiki na ni mmoja katika ile 70% ya muungwana wanaofuata upepo period!!!
   
 13. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  mengi mengi mengi!
  muwe makini na huyu mzee wa 77yrs old!mnapaswa kujiuliza mambo mengi sana juu ya huyu babu yake na nguli!
   
 14. JAYJAY

  JAYJAY JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2009
  Joined: Oct 31, 2008
  Messages: 2,495
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  hapo ni mwendo wa kufuata upepo tu.
   
 15. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2009
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Sii kweli kwamba Mengi ni mfuata upepo bali yeye ni mtu ambaye kwa kivitumia vyombo vyake vya hahari anao uwezo wa kuukinga upepo na kuuelekeza anakokata yeye. Serikali na au umma wa watanzania utajisalimisa chini ya mkondo wa mwelekeo aliouelekeza Mingi.
   
 16. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,691
  Trophy Points: 280
  Code:
  
  
  Code:
  
  
  Hiyo ndio biashara mkuu......ungekuwa mfanyabiashara mkubwa usingemshangaa Mengi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...