Menejiment ya tanesco kuelekea loliondo!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,778
Wapendwa yawezekana hata hili giza ni nguvu za giza..baada ya kamati ya makamba kutoa ushauri wake na kugusia wah waende loliondo kuombewa na babu..hivi sasa kuna mpango maalum wa menejiment nzima kwenda kwa muda na kurudi wengine waendeelee ili wakaombewe wajue jinsi gan ya kutunasua na janga hili la tanesco

BH kazi nzuri
 
:embarassed2: Mie ni Sekretari, tumefanya nini tena jamani PDiddy? Au ndo mawazo potofu unaamua tu sasa kutuvunjia heshima hadharani bila kosa?? :embarassed2: Walikufanyeje masekretari??????
 
Wapendwa yawezekana hata hili giza ni nguvu za giza..baada ya kamati ya makamba kutoa ushauri wake na kugusia wah waende loliondo kuombewa na babu..hivi sasa kuna mpango maalum wa menejiment nzima kwenda kwa muda na kurudi wengine waendeelee ili wakaombewe wajue jinsi gan ya kutunasua na janga hili la tanesco

BH kazi nzuri hakikisha had ma secretary wao wameenda maana wao ndio ..n** zao

Nchi hii inaendeshwa kishirikina, kwa hiyo sishangai wakienda.Babu mwenyewe mbona ni agent wa shetani?Ngoja waende waongeze nguvu za kuzidi kuwapumbaza wapumbazika.
 
unaweza kuthibitisha haya maneno yako?
 
Back
Top Bottom