Meneja wa TRA sirari anaishi hotel huu ni mwaka sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meneja wa TRA sirari anaishi hotel huu ni mwaka sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nchagwa Chacha, Apr 12, 2011.

 1. Nchagwa Chacha

  Nchagwa Chacha Member

  #1
  Apr 12, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari zenu wana JF? Yamenibana imenibidi niseme inasikitisha kuona meneja wa Tra border ya sirari anaishi hotel yapata sasa na kwa gharama ya juu kwa hadhi ya hotel hiyo inayojulikana kwa jina la Goldland Tarime mjini. Ninachohitaji kujua huyu mtu anatumia pesa zake binafsi au anatumia kodi za wananchi kwa kulipia gharama za hotel malazi na chakula takriban mwaka sasa ambapo waliomtangulia walifikia kwenye nyumba hiyo hiyo aliyoikataa yeye na kupelekea kuishi hotel. Mimi nashindwa kuielewa serikali kwa kuingia gharama kubwa kwa mtu mmoja pesa ambayo ingetumika hata kuchongea madawati ya watoto wetu shuleni au kujenga madarasa. Naiomba serikali ikemee hili mara moja kwa matumizi mabaya ya kodi za wananchi.
   
 2. U

  Uswe JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Karibu Chaha! naona upo JF naamini network yetu na zile settlement report zenu kesho zitakuja kwa wakati.

  Yes, hiyo ya meneja inasikitisha sana hasa ukizingatia kwa kila buku ninayotengeza 300 inaenda TRA, kwa kila laki moja elfu thelathini inaena TRA kwa kila milioni laki tatu inaenda TRA, isingekua inauma sana kama pesa hizi zingekua zinaenda kujenga barabara, kununua vitabu vya wadogo zetu, kununua dawa katika hospitali lakini kwamba zinaenda kulipa pesa ya hoteli ya meneja, inauma sana!
   
 3. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #3
  Nov 14, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 4,771
  Likes Received: 2,506
  Trophy Points: 280
  bado yupo au ameshahama?
   
Loading...