Huyu meneja tangu february 19 mwaka huu anazungusha pesa yangu hataki kuitoa kanipa kiasi tu cha pesa inayotakiwa, nyingine iliyobakia hataki kumalizia na sasa hapokei simu wala hajibu meseji.
Pesa ndogo sana inamtoa imani, hakukopeshwa ni pesa ambayo ilikuwa ktk laini moja ilitakiwa aihamishie laini nyingine...lakini uaminifu umekuwa mwiba kwake, nawaomba mwenye mawasiliano ya mkubwa wake ili nilipeleke kwa boss wake maana pale ofisini Morogoro Mjini yeye ndio anaonekana mkubwa wa tawi lote.