jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,011
Unaboa kwelikweli,kila siku temeke,chang'ombe,keko na kurasini yenyeme lazima umeme ukatike.
Hivi ninavyozungumza chang'ombe yoote haina umeme,
Unashindwa ku reson kama maeneo haya ndio muhimili wa viwanda nchi hii?
Hakika kasi ya Magufuli imekushinda,ni bora ung'atuke kabla hujatumbuliwa.
Harakati za Tanzania ya viwanda unazirudisha nyuma wewe na watendaji wako wa hovyo.