Meneja huduma wa SUMATRA yuko live Clouds akielezea katazo la kujadili siasa kwenye daladala!

Martin George

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,695
1,470
Amesema ni marufuku kujadili siasa, kufanya biashara wala kuhubiri injili kwenye dala dala, na hiyo ni kwa mujibu wa sheria na atakayekwenda kinyume atashtakiwa. Amesema hizi ni sheria mpya toleo jipya.

Karibu

Chanzo: Clouds 360
 
Anyway kuna upuuzi mwingi wa kujadili hata hivyo, tutaanza na Dr Shika na 700 hazitadhuru, tutakuja na kesi ya manslaughter na stay strong Dady is Coming.

Whole lot of shit to discuss
 
Kaongelea wale wanaopanda kwenye mabasi na kuanza kuhubiri au kuongelea siasa na wale wanapanda mabasi kuuza bidhaa zao. Lakini marufuku hii haimgusi abiria aliekaa na jirani wanajadili maana wanayo haki ya kikatiba
 
Mtoto wangu ana miezi 10 hua ana kamchezo fulani hivi.
Atachukua simu yangu ya batan ataipeleka mdomoni, akiona simfanyi kitu ataifuata na ya android na kuanza kuitia mdomoni.

Target yake hua ni android ila hii ya batan hua kama anapitia njia akiangalia nipo willing kiasi gani kumuachia.

Nahisi serikali ina target yake wakiona kwenye mabasi tumetii itakuja nyumbani, kisha mitandaoni. Show imeisha.
 
Hivi kweli jamani hizi elimu za Tanzania zinaleta products gani kwenye jamii?
tatizo lilianzia udsm ..ilivyotoa magu product. sasa angalieni hawa mapotatoes..mwisho wa siku watatuchagulia boxer za kuvaa
Mkuu hapana. Hizo products za udsm ni safi tuu. Sema siasa mkuu zinawaharibu.

Hata wewe ungekuwa pale ungesema tusiongelee siasa hata ukiwa na mke wako chumbani.
 
Back
Top Bottom